jaruri
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 717
- 459
Rais wa awamu ya tano ni Rais makini haijawahi tokea. Anaongoza katika kipindi kigumu sana, wakati ambapo kuna wapinzani ambao nia yao kubwa ni kupata usahwishi wa kisiasa toka kwa wananchi,haijalishi wana risk maslahi ya nchi au la, haijalishi pia kuwa jana walikuwa na msimamo upi leo wanaweza badilika kabisa.
Mfano mzuri ni pale 2008 walipomuita ndugu yetu mmoja kuwa ni fisadi lakini 2015 kwa dhamira ya kuingia ikulu walikana msimamo wao na kuleta mpasuko mkubwa kwenye chama chao, na effect ya hicho walicho kifanya kimeiyumbisha CUF hadi leo.
Hawa ndio wapinzani wanaolazimisha sisi watanzania wazalendo tuwaamini.. Nacheka sana unaamini mtu ambae hana ajenda ya kudumu leo,anaongea hiki kesho kaja na hiki,,
Lilikuja swala la watumishi hewa na ajira kusimama.Serikali ilitoa maelezo kuwa ajira zilisimama kwa muda ili kuruhusu uhakiki wa watumishi hewa na hivyo ajira zingetangazwa baada ya zoezi hili kukamilika.
Ndugu zetu hawa walitumia nafasi hii kuifitini serikali kwa wananchi.
kwa kusema kuwa serikali haitaajiri, Lakini kwa kuwa njia ya mwongo ni fupi, serikali hivi majuzi imetangaza nafasi lukuki za ajira sasa CDM wameinamisha vichwa chini hawana hoja.
Likaja swala la mchanga wa dhahabu.Rais kwa nia njema aliunda tume,hizi tume zilikuja na mapendekezo ambayo kimsingi yalikuwa ni kwa faida ya watanzania na sio Rais Magufuli.
Alikuja mwansheria mkuu wa CHADEMA na kuiita ripoti ya tume ya kwanza ya Professor Mruma kuwa ni takataka, serious? unaiita kazi ya kamati nzima tena iloundwa na Rais kwa maslahi ya watanzania ni Takataka? And then unategemea kuna mwananchi akuunge mkono? That can never happen.
Hii pia ilikuwa ni njia ovu ya kutaka kuonesha umma kuwa Rais hajafanya lolote la maana. Ripoti hii aliyo iita takataka ndio ilitumiwa na kamati ya pili na hatimae wazungu wamekuja Tanzania kwa mazungumzo, from this pont unaweza jua nani ni takataka.
Lilikuja swala la mauaji kibiti.Ndugu zetu kule walikuwa wakifa kinyama na watu wasio julikana, lakini walisikika bungeni wakisema, kama serikali haitawasikiliza bungeni basi mauaji yale yangeendelea nchi nzima ,swali walijuaje kuwa watu hawa wanafanya unyama ule kwa kuwa wao CDM wananyanyaswa bungeni?
Walikutana wapi na wauaji hawa na kupata hizo taarifa? na kama kweli walikutana nao na wakawaambia kuwa wataendela kuua hadi hapo serikali itakapo wasikiliza CDM then kwa nini hawakuwataja ili kuisaidia polisi na kuwaacha ndugu zetu wazidi kufa? Hapa napo tunaona wazi ufitini wa wazi wazi. Mwenye akili na afahamu
Limekuja swala la kusema tutengwe na jamii ya mataifa.Hivi jiulize ni kweli kuna binadamu anaweza sema kuwa jamani sasa msituletee misaada yoyote,tuacheni tufe,wagonjwa wa HIV/AIDS on ART wafe,misaada ya fedha kwa ajili ya hospitali ikome wagonjwa wafe,misaada ya fedha kwa ajili ya mashirika kama TASAF yanayosaidia maskini ikome,
Jaribu kujiuliza ni roho gani aliyo nayo binadamu wa aina hii. Then wakati anaongea haya Rais alikuwa Tabora akizindua miradi mbalimbali akitembea kwenye njia ya vumbi ili kuona kero za wananchi. Jamaa hawa waliona kuichafua serikali ndani wameshindwa basi wajaribu na nje ya nchi.
And then hivi majuzi alisikika tena mtu huyu toka chama hiki akisema tuhuma nzito dhidi ya serikali. Maswali ya kujiuliza hivi kila ukweli ni lazima usemwe? hata kwenye familia baba huwa anaongea kila issue inayo mkabili? and then unapoleta taarifa uliyo ipata toka upande mmoja na kuisema as if you are sure, what if umepewa wrong information?
Unaweza kuisahihisha na wakati tayari imeshawafikia wananchi? And lastly unasema watu wale walikuambia kuwa waziri toka Tanzania kawaambia hiyo taarifa iwe siri wasimwambie mtu,sasa how wamekuambia wewe? una uhusiano gani na hao watu?
Mwisho hakuna kosa kama kosa limetokea katika nia ya kutenda jambo jema, Good samaritan Law in medicine. Serikali iko vizuri na inatekeleza ilani ya chama tawala CCM kwa ukamilifu, tumuunge mkono Rais wetu kushtkakiwa sio issue, tutavuka na maadui wata aibika.
LONG LIVE JPM;HAPA KAZI TU
Free mind@jaruri
0712207633