Recent content by jonas255

  1. jonas255

    JamiiForums Tanzania Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

    Hivi hawa wapo tangu lini
  2. jonas255

    JamiiForums Tanzania Jogoo kashindwa kuwika mara mbili, nitumie Viagra?

    hivi nikitumia mara moja tu kuna tatizo na je ndio itanifanya niwe tegemezi maana nataka nimridhishe leo tu nisitumie tena
  3. jonas255

    JamiiForums Tanzania Jogoo kashindwa kuwika mara mbili, nitumie Viagra?

    Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra). JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye...
  4. jonas255

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kuvunja ndoa bomani

    Habari wana JF Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana. Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka ndoa za Kiislam tu ndio zivunjwe mahakamani, ila za Kikristo na za bomani hazijazungumziwa. Asanteni.
  5. jonas255

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    magufuli ovyo sana
  6. jonas255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Mshiiri, ME NILIACHANA NA MKE WANGU KIDOGO NIFE NA MAWAZO NA POMBE... NASHUKURU MCHEPUKO UKANIOKOA :(
  7. jonas255

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    NIMEJICHANGA NIMEPATA TSHS. 2,500,000 JE NAWEZA KUPATA GARI GANI TOFAUTI NA COROLA, MARK 2 NA CRESTA
  8. jonas255

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Watu wenginewashamba kweli
  9. jonas255

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mahakama Kuu yamhukumu kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    So the mens rea was proven... Omg but i think she had no intention to slaughter that student... It was actus reus
  10. jonas255

    JamiiForums Tanzania Mjane wa marehemu kupata asilimia kwenye pension

    Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37 Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki...
  11. jonas255

    JamiiForums Tanzania Je, mjane wa marehemu anaweza kuendelea kupata asilimia fulani ya (pensheni)aliyokuwa anapokea marehemu?

    Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37 Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki...
  12. jonas255

    JamiiForums Tanzania Mjane kupokea pension ya mumewe

    Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37 Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki...
  13. jonas255

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu riba ya CRDB ukiuza mkopo

    Ishu ni kwamba baada ya kupokea mkopo kuna tshs. 500,000 imebaki bank wameniambia kwenye hiyo laki 5 kama watakata mkopo wa mwezi december 2018 nitarudishiwa laki 3 na laki 2 itakayobaki ni interest ya mkopo... Ndio nilikua nauliza inakuaje hiyo laki mbili wakate interest wakati bank ishachukua...
  14. jonas255

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu riba ya CRDB ukiuza mkopo

    Wadau habari.. Mimi mwezi december nimepokea mkopo wa milion 18900000 kutoka crdb... Niliuza mkopo wangu wa nmb... Tulifanya calculation na loan officer ya fedha nazoweza kupata ikaja kwenye 4500000... Cha ajabu nimewekewa mkopo wa 3900000... Nimefatilia nimekuta bank wamebania tshs 510000...
Back
Top Bottom