Recent content by jombezi

  1. jombezi

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie tofauti ya maisha ya Rwanda na Tanzania

    Kwa nini huwezi kuwa mkulima mkuu?
  2. jombezi

    JamiiForums Tanzania Neno la Asubuhi: Mwayachunguza maandiko

    Amen
  3. jombezi

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Morizella juice, iliyotengenezwa na kitengo cha Tiba asili Hospitali ya Muhimbili

    Inawafaa wenye kisukari?
  4. jombezi

    JamiiForums Tanzania Kuna uhalali wa Prof. Kitila Mkumbo kupinga Waraka wa Maaskofu?.

    Nilifanya biashara ya kuagiza gari nje na Jacobo,alinidhurumu milioni 20 hadi wa leo
  5. jombezi

    JamiiForums Tanzania Kuna uhalali wa Prof. Kitila Mkumbo kupinga Waraka wa Maaskofu?.

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. jombezi

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

    Cha ajabu ni nini kwa mfano
  7. jombezi

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

    Umeongea jambo la msingi sana,lkn kwa uvivu wa wa Tz wakufikiri watakubishia hadi kesho,cha msingi wapika majungu,nikuwaacha waamini vile wanavyoamini,huwezi kuwabadilisha haraka kitu walicholishwa,na kuaminishwa toka wakiwa matumboni mwa mama zao
  8. jombezi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Nimeyapenda sana majibu yako,nimeziona busara ndani yako,barikiwa sana Mtumishi
  9. jombezi

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Kwa uzoefu wako kipimo sahihi bila kutumia vibaya aridhi ni mita ngapi mti hadi mti?
  10. jombezi

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Miti yangu ya miparachichi baadhi huanza kunyauka hadi inspukutisha majani yote na kubaki kijifito tu,baadaye huanza kuotesha majani upya,na mengine haioteshi tena,nini ufumbuzi wa changamoto hii?
  11. jombezi

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Asante sana comredi,umenitia nguvu za kusonga mbele, barikiwa sana kwa ufafanuzi mzuri, wewe mi mtu mhimu sana kwangu nitazidi kukusumbua usipojali
  12. jombezi

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Niko na takriba Ni ekari 20 za miparachichi ambazo nimeanza kupanda kuanzia mwaka jana na mwaka huu shughuli zinaendelea,tamaa ya moyo wangu ni kuwa pia na shamba la mikorosho ktk maeneo Morogoro au Iringa. Lkn ipo hofu kidogo juu ya haya mazao ambayo soko lake asilimia mia ni la nje,je kinini...
  13. jombezi

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Haivuki laki 3,
  14. jombezi

    JamiiForums Tanzania Dada una sura nzurii.....

    Nimejikuta nimesoma page zote,si kwa majibu yako mazuri,sio tu mzuri ht akili ni kubwa
Back
Top Bottom