Recent content by jollyman

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Julius Nyerere on Palestine

    Julius Nyerere was among the first African leaders to recognise the Palestine Liberation Organisation (PLO) under Yasser Arafat. In the same interview for El Massawar, he stated: “Our generation was a generation of the nationalist struggle for the independence of our own countries, but the...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    1. Hana uteule, kama uteule asingehangaika miaka 75 na bado anahangaika . 2. Wote wanasema tu , Lakini ni Iran peke ambayo inayoogopwa na Wana israel. 3. Wanatishia wengi lakini wanayestahiki kupigania haki yao ni wapalestina wenyewe. 4. Siku Israel ikianza kupokea wanajeshi wa nje , siku hio...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Wewe inaonuesha hujui historia . Dunia nzima ni kama mtaa , Ambapo nchi ni majumba . Na wote ni jirani, unaweza kuwa chongo kuwa huoni kinachoendelea, lakini majumba yote huathirika inapoungua jumba Moja. Kinachotuunganisha sisi sote ni kabila , dini na ubinadamu tulionayo , kama hutajiandaa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Unaposema Israel ni Taifa la Mungu , 1. Unamaanisha Mungu ni Mungu wa wazayuni. 2. Wayazuni ni tofauti na wazayuni . 3. Mungu tangu lini akahitaji Taifa , kama ni Mungu wa ulimwengu wote, Taifa Moja Slsi ni sehemu ndogo. 4. Toa ushahidi kuwa Palestina ni Taifa la Mungu . Au kwa kauli yako Israel.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Hapana . Nchi inayoitwa Israel. Israel itaondoka aidha wakitaka wenyewe au wakifukuzwa. Kama unachosema ni kweli lete dalili ya kihistoria.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vichekesho: Iran yadai timu yao ya taifa ilishindwa na Uingereza kwasababu ilikuwa ikicheza na wasaliti Marekani, Israel na Saudi Arabia

    Kwanini Iran imefungwa 6 - 2 , sio siri. Sababu : 1. Kipa asilia wa timu ya Iran , aliumia ndani ya dakika kumi za mwanzo baada ya Mechi kuanza . 2. Sio wote ila baadhi ya mashabiki waliokuja kwenye mpira , nia yao ilikuwa sio kuona mpira baali kupigia debe kauli zao . Mashabiki waliokuja...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vichekesho: Iran yadai timu yao ya taifa ilishindwa na Uingereza kwasababu ilikuwa ikicheza na wasaliti Marekani, Israel na Saudi Arabia

    Mzee , Iran inadai lakini gazeti ulioiweka ninuengereza na sio ya Iran. Sio kila kitu unachoona basi ni sahihi . Tafuta gazeti ya Iran kuhakiki kama ni wao waliosema hivyo
  8. J

    JamiiForums Tanzania Timu ya taifa Irani yagoma kuimba wimbo wa taifa

    Wajaribu kama wataweza. Ukitaka kujua kinachoendelea , soma historia.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Raia wa Iran wanakaribia kuingizwa mkenge na mabeberu wa magharibi kama walivyofanyiwa raia wa Libya

    Tatizo sio hijab au baibui , tatizo ni mataifa kuingilia sio za kwao. Hijaab sio tatizo ni kanuni ya nchi . Kama Tanzania kuna mavazi yanayoruhusiwa ambayo inatofautiana na magharibi , kesho wanakuja kukuambia kama njoo ufanye fujo kisa wanawake hawaruhusiwa kuvaa nguo zisizo za kistaarabu au...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

    Kuna vipengele vingi vya kuangalia kabla hujachukua hatua ,1. Huyo ni Mkwewe . Kama Mamake Mumewe ni Mama yako . Heshima iwepo .2. Inaweza kuwa yeye anashida zake yakumfanya akae pale , shida zake binafsi au jumla .3.Ilikuwa afanye maarifa mumewe asiende kwengine . Mgeshauriana mkae vipi nyumba...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mtandao wa BOL

    Smart tayari wana page ipo ndani ya matengenezo http://tz.smarteastafrica.com
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mtandao wa BOL

    Lakini hiyo Smart to Smart sio mtandao mwingine
Back
Top Bottom