ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,519
- 20,352
Basi hata Iran wanao weza kumtoa ayatollah ni wairan wenyewe na sio Marekani na Israel.anae weza kuitoa ccm ni mimi na wewe
Basi hata Iran wanao weza kumtoa ayatollah ni wairan wenyewe na sio Marekani na Israel.anae weza kuitoa ccm ni mimi na wewe
Basi hata Iran wanao weza kumtoa ayatollah ni wairan wenyewe na sio Marekani na Israel.
Kwa hiyo Tz ni nchi ya demokirasia ?wananchi huon walivo kufa? dola ya chuma inaondolewa kwa chuma.
dola ya democrasia inaondolewa kwa democrsia
huon umeandika utumbo , nan katolewa Tz ? muwe mnaacha kukurupukaKwa hiyo Tz ni nchi ya demokirasia ?
Kweli ww ni hamnazo.
Kwa hiyo Tz ni nchi ya demokirasia ?
Kweli ww ni hamnazo.
Kama ww baba yake umejaza makamasi kichwani badala ya ubongo, huyo mtoto akili za kunifundisha mm atayopata wap?rudi darasan. au njoo mwanangu akufundishe defn ya democracy.
atakupa na deference za dictatorship and democracy kama kifungashio.
Ayatollah Ali khamenei na anavyopenda umwagikaji wa damu atawawekea zengwe wakirudi kwao irana (aka kimanzichana)Wametuma salamu kwa ayatollah.
#MaendeleoHayanaChama
Awapi. Wakuitoa ccm ni Jeshi litakapoichokaanae weza kuitoa ccm ni mimi na wewe
Wewe hujielewi.Kwa hiyo Tz ni nchi ya demokirasia ?
Kweli ww ni hamnazo.
Wajaribu nini?Wajaribu kama wataweza. Ukitaka kujua kinachoendelea , soma historia.