naomba msaada kwa anaejua tatizo la simu hii kwan bila sababu button zote yaan back,menu button hazifanyi kaz je nitatizo ninaloweza liondoa kwa kuiflash?
Am proud to be a chagga girl MARANGU ndio asili yangu watasema tu watupake matope vyote tumebarikiwa akil, muonekano kilakitu nikupe siri upendeleo tumepewa "wachapakazi"hatutegemei yeyote mungu pekee kwa thread hii imefungua fursa za wengine kuvumbua dhahabu# watoto wakimarangu kkutafutwa@dili...
Katika hali ya kushangaa kwa kushtushwa na taarifa kwamba ni lazima mtahiniwa asahili masomo zaidi ya matano kama anataka tafuta credit je nikweli utaratibu huo watumika?
Kuhusu. Mtaji alikwambia kaongopa kwan mtaji watakiwa. Mkubwa kwanza uchimbaj Chanson cha Maj cha kudumu vyakula na Maintenance ya kilacku hivyo. Gharama zahitajika vile vile faida.
Ukifikia kuvuna. Kubwa pia
Pia maji kutoka na Kuingia ni kulingana na muundo wa bwawa. Yaan lijengwapo lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.