Recent content by jolly

  1. jolly

    What is a quation statement?

    Permanides...... pia usisahau kuna legal aid.....msaada wa kisheria bureeeee kwa wasio nauwezo wakulipia huduma ya kisheria.
  2. jolly

    What is a quation statement?

    Kunatofauti kubwa kati ya mambo ya kuzingatia wakati caution statemen inatolewa na "maana ya caution statemen " swali liikuwa ni maana ya caution statement......kitu ambacho ww hujakielezea.....
  3. jolly

    Introducing teamrafiki

    Nawezaje kujiunga ns team rafiki?
  4. jolly

    What is a quation statement?

    Caution statement maana yake hasa ni hati ya onyo,ambayo hutolewa na police kwa mtuhumiwa kabala ya police kuchukua maelezo ya mtuhumiwa,ONYO lenyewe ni kwamba lolote atakalo lisema mtuhumiwa huenda likatumika kama ushahid endapo kesi itapelekwa mahakamani"whtever u say might b usd against u in...
  5. jolly

    What is a quation statement?

    Caution statement maana yake hasa ni hati ya onyo,ambayo hutolewa na police kwa mtuhumiwa kabala ya police kuchukua maelezo ya mtuhumiwa,ONYO lenyewe ni kwamba lolote atakalo lisema mtuhumiwa huenda likatumika kama ushahid endapo kesi itapelekwa mahakamani"whtever u say might b usd against u in...
  6. jolly

    Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

    Co siri napenda saana mwanaume anayeguna kimahaba,yaaan huwa ny..g. znapanda mpka bac mwanaume agunapo kwa raha tuwapo 6*6....ila wakulia hadi mchoziiiii
  7. jolly

    Nampenda sana ila nahisi ananitesa.

    Habari za asubuhi wanajamvi. Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .Tatizo lililopo nikwamba kuna mambo huwa anayafanya mm yananiumiza sana namwambia mwenzangu anaomba samahan...
  8. jolly

    Hivi ni mimi tu? au na wengine ni hivyo ....

    Natamani kukuona hamu inapokuwa imekuzdia.
  9. jolly

    Hivi ni mimi tu? au na wengine ni hivyo ....

    Natamani kukuona hamu inapokuwa imekuzdia.
  10. jolly

    Je! Watanzania mnataka serikali ngapi???

    Mi kiukweli naitaka Tanganyika irudi ,na cpend ambavya hii rasimu ya katiba mpya ambavyo washiriki wa tume ambavyo hawataki kutamka wazaiwazi jina TANGANYIKA nachukia na cjui kiini hasa nn ni nini????utaona mara Tanzania bara mara Tanganyika mara wht,huu ni upuuzi yaani wananikera kinyama yaani...
  11. jolly

    Sijui nitatokaje hapa

    Mwambie tuuuu kama yko single atakuelewa...,
  12. jolly

    Niombeeni niko kwenye uchumba sugu mwaka wa kumi sasa!!

    Nakushauri usione aibu kuhamia kwake kama harusi baaado sana,ili hata mda ukifika mkabariki tu,yaan kukaa mbalimbali kutazd kukupotezea mda na haki zako za mcng,ungekuwa mika yote hyo umeishi naye sehem moja kama mke na mume kisheria tayari ungkuwa unatambulika kama mke na ungekuwa na haki zote...
Back
Top Bottom