Recent content by Joksa

  1. Joksa

    JamiiForums Tanzania Our country

    Tunapaswa kupaza sauti pale tunapoona viongozi wetu wanaenda tofauti
  2. Joksa

    JamiiForums Tanzania Our country

    Naumia sana kuona viongozi wazuri wanapotenguliwa pasipo haki, Nijuzi tu Mkurugenzi wa Tanesco ametenguli pasipo n.a. hoja zenye mashiko. Mungu atusaidia sioni mwisho mzuri wa Viongozi wetu wajuu
  3. Joksa

    JamiiForums Tanzania Our country

    Naomba kuuliza ivi tatizo la Mh Nape kutenguliwa nini ni? Tunaelekea wapi kama taifa?
  4. Joksa

    JamiiForums Tanzania Hizi zaweza kuwa sababu zinazomfanya Makonda aendelee kuwa RC Dar

    Ayo matokeo yanaukweli
  5. Joksa

    JamiiForums Tanzania Hizi zaweza kuwa sababu zinazomfanya Makonda aendelee kuwa RC Dar

    Ivi nikweli yanayosemwa kuhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar nisahihi?
  6. Joksa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Mkurugenzi kaongea vizuri sana
  7. Joksa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Busara naiona hapo kwa Mkurugenzi wa clouds
  8. Joksa

    JamiiForums Tanzania DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

    Naamini kwa utafiiti umeanyika kabla.
  9. Joksa

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Mnaosema MH.Katumia vyeti vya mtu mwingine, mmefaham leo? je mlikua wapi kabla ya sakata la dawa za kulevya?
  10. Joksa

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    kwanini taarifa hizi zinaaanza baada ya sakata la dawa za kulevya
  11. Joksa

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Duuuuu mimi sinauhakika na hizi ishu
  12. Joksa

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi za ndani anahitajika haraka

    ni lazima awe mdada hawezi kua house boy?
Back
Top Bottom