Recent content by Jokia

  1. Jokia

    GE2025 Battle Kali: KUTIKI vs MAANDAMANO. Hakuna CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs Maandamano

    Nani ndugu yako humu we kibaka? Uchaguzi maana yake ni nini kama hauleti mabadiliko yoyote??..tumechoka ufisadi uliopotiliza, uchawa, utekaji na maisha magumu
  2. Jokia

    Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    We makalio ni wakala wa bima au? Hivi unafahamu kuwa hizo bima wengine tunazo tangu enzi lakn hospitali huduma ni za hivyo?? Unafahamu kwamba bima za sirikali yenu ya mafisadi na wanamtandao hazipokelewi kwenye hospitali nzuri za binafsi??
  3. Jokia

    Mwandishi wa EATV ashambuliwa na wanaodaiwa kuwa polisi, wakati akifuatilia changamoto ya usafiri wa mwendokasi Mbezi

    Waandishi wa habari mpigwe tu tena mpigwe sana make mmekuwa machawa wa serikali sana
  4. Jokia

    Kimeumana CCM wangua vilio wakimtaka kembaki polisi watia timu katibu CCM afunguka ( Constructive Manslaughter)

    Tarime nayoifahamu mimi, kama watalazimisha Esther kuwa mbunge wakati wananchi hawamtaki CCM itakula kwao. Watachagua upinzani labda awe mgombea peke yake...
  5. Jokia

    Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

    Na mahindi je?? Amefel kabla ya kuanza
  6. Jokia

    Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Unafahamu maana ya 'Mabadiliko ya Tabia ya Nchi?' Hiyo baridi kali kupitiliza unayohisi, joto kali kupitiliza, mvua nyingi kupitiliza kiangazi kikali na kubadilika kwa majira ndiyo matokeo ya huo ujinga wako wa kutoelewa faida za misitu na uhifadhi wa mazingira
  7. Jokia

    Ninyi polisi na walimu nisikieni

    Siungi mkono wala kupinga adhabu ya fimbo. Binafsi nilichapwa sana shuleni na kwa kiasi fulani ilisaidia kunifanya hivi nilivyo leo. Katika ukuaji wa mtoto kuna umri akifikia inabidi itumike nguvu kubwa sana ya kuthibiti mabadiliko yake ya tabia, umri wa balehe. Kudekeza kukizidi kuna madhara na...
  8. Jokia

    Ninyi polisi na walimu nisikieni

    Mtoto akiharibika ni janga kwa TAIFA na mtoto akiwa bora ni faida kwa JAMII. Chukulia mfano mtaani kwako, omba omba, wezi, vibaka, wala unga n.k ni huleta madhara kwa nani kama sio taifa zima?
  9. Jokia

    Marekani huingiza 97bn kwa mwaka kupitia porn industry

    Mungu alichagua upande mbaya sana 😄
  10. Jokia

    Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

    Naona leo kwenye makundi yenu ya WhatsApp ya elf 7, 7 mmekubaliana mje humu kuanzisha nyuzi za kupinga kanisa kwa tamko lake la kuzuia mambuzi kwenye miambali ya kanisa. Kazi mnayo 😄
  11. Jokia

    Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

    We andika tu kama unekatwa kichwa. Serikali zinapita ila dini zipo karne na karne. Usicheze na wamilki wa dunia.
  12. Jokia

    Bei za mifugo kama Ng'ombe zinapaa sana shida nini?

    Wafugaji wamepungua na walaji wameongezeka. Mijini watu wanafuga magari kwaiyo utafika muda mtaanza kuchinja magari yenu mle injini make wa mjini kazi yao kutukana wafugaji (wasukuma) eti ni washamba 😅
  13. Jokia

    Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

    Alichoandika ni ukweli ila hapo kwenye CWT ndipo ameweka slip yenye chama tofauti. Mshahara unaongezeka kulingana na muda wa kukaa kazini. Kwa mfano mwalimu wa cheti kama ilivyo mkeo, kama amekaa miaka mingi kazini mshahara wake utakua mkubwa kukiko mwalimu wa degree anaeanza. Tofauti yao ni...
  14. Jokia

    Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Sikubaliani na wewe kwamba watuwa Rukwa ni waaminifu. Ulichoandika kiko kinyume
Back
Top Bottom