Recent content by Jokho

  1. Jokho

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza lugha ya Kichina?

    Nenda Chuo cha Diplomasia
  2. Jokho

    JamiiForums Tanzania Muda huu nimetoka lock up, kisa mapenzi

    We bila shaka mchg
  3. Jokho

    JamiiForums Tanzania Muda huu nimetoka lock up, kisa mapenzi

    Hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah
  4. Jokho

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Serikali: Futa salamu ya shikamoo

    HII NDIYO HISTORIA HALISI YA MANENO "SHIKAMOO" NA "MARAHABA." kuna idadi kubwa ya watu wanatumia neno shikamoo kama sehemu ya kuonyesha heshima au salamu kwa mtu aliyekuzidi umri. Ila ni muhimu sana tukaelewa maana na historia ya na maneno “Shikamioo” na “Marahaba”. Kama ifahamikavyo kuwa kila...
  5. Jokho

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina division III ya 15, nataka kwenda kusoma Uganda kusoma

    Ingia chuo cha social work na ingia nacte upate nakala za kil NTA LEVEL KWASSB NTA LEVEL 4 NI BASIC CERTIFICATE, NTA LEVEL 5 NI TECHNICIAN CERTIFICATE NA NTA LEVEL 6 NI ORDINARY DIPLOMA NA NTA LEVEL 7 NI ADVANCED DIPLOMA OR HIGHER DIPLOMA CJUI UMENIPT KWAHYO THUS Y UKITOK NTA LEVEL 6 NDIO...
  6. Jokho

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina division III ya 15, nataka kwenda kusoma Uganda kusoma

    Soma advance Diploma mwaka mmoja amby pia ukifaulu vzr unawez enda bachelor au masters
  7. Jokho

    JamiiForums Tanzania Natafuta kituo cha kufanyia mtihani wa kidato cha sita kama private candidate

    Mm nipo CHAMAZI mbagala rangi tatu afu mzumbe iko moro huoni kuwa ni mbali sana
  8. Jokho

    JamiiForums Tanzania Natafuta kituo cha kufanyia mtihani wa kidato cha sita kama private candidate

    Ahsante sana kk ubarikiw sana
  9. Jokho

    JamiiForums Tanzania Natafuta kituo cha kufanyia mtihani wa kidato cha sita kama private candidate

    Ahsante sana ndugu yangu ntaufanyia kazi ushauri wako ubarkiwe sana
  10. Jokho

    JamiiForums Tanzania Natafuta kituo cha kufanyia mtihani wa kidato cha sita kama private candidate

    Habari za wakati huu ndugu zangu, Shida yangu ni kupata ushauri kutoka kwenu. Mimi nahitaji kufanya mtihani wa form six kama private Candidate kwa mchepuo wa CBN. Shida yangu kubwa ni kwa wale wanaojua mahala pa kuzipata notes za haya masomo pamoja na vituo vizuri (centres za kufundishia)...
Back
Top Bottom