Recent content by Jokeri

  1. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa Kwanini Hatuwezi Kupata Maendeleo au Baraka

    Uzi uishie hapa. Umejibu vyema
  2. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Shamba boy nimekosa site wawekezaji mnakaribishwa tufanye kazi

    Ndio mkuu nipo tayari
  3. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Shamba boy nimekosa site wawekezaji mnakaribishwa tufanye kazi

    Habari Wana Tanzania Salamu kutoka Tukuyu -Mbeya Msimu huu wa masika nimejikuta Sina site ya kufanya kazi na mwaka ndo unayoyoma hivo😅 Kama unahitaji shamba boy nipo hapa Naweza na Nina uzoefu ,kulima,kutunza mifugo,bustani n.k Uwaminifu ndio hazina yangu Nina 24 yld_ me., 0756122848
  4. Jokeri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuweni makini na single mothers, ni hatari. Nimenusurika kutoka katika mdomo wa mamba

    Tofauti yako na kondoo ni harufu tuu😮‍💨
  5. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Katika mazingira haya utafanya nini?

    Yani hapo naamka Kwa kukurupuka mbiooo + yowe juu,,,najua naye chui atapata wenge atakimbiaaa tuuu,,
  6. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🔥
  7. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Ewe Jobless usiwahi haribu au katisha maisha yako kisa changamoto yoyote

    Huu Uzi umeongeza kitu kwenye maisha yangu Ya u jobless,,,🗽🗽KIDUMU CHAMA CHA MAJOBLESS
  8. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

    Gari likiwaka ,Wengi wao hujikuta wanatumbukia kwenye uliwengu wa ulevi,,,ni huzini sana😓
  9. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

    😅Mkuu hii ni mistari ya Ngoma Gani? Na kaimba msanii gn? Naombeni mniatajie maana imenikosha
  10. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

    Mkuu binadamu real kama ww mmebaki Wachache sana hapa duniani, mmjojawapo ni ww #ishi maisha yako kuwa wewe.
  11. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

    Umeamua uniseme mkuu😅😅
  12. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda

    Duniani palipoa sana, Tunashukuru Trump Kwa kuichangamsha Dunia😁
  13. Jokeri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu wamepinga vikali nimuoe na kuishi nae binti nimpendaye bila kunipa sababu yoyote, sielewi nifanyeje!

    Habariii wana jukwaa Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu mnamo mwaka huu mwezi wa 9 nilifanikiwa kumuoa mwanamke ambaye nilikua nae kwenye kipindi cha uchumba kwa miaka zaidi ya mitatu. Na ni mwanake mwenye stara,utu pamoja na utulivuu vijana hupenda kuwaita wife material na tunapendana sana...
  14. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu yapo katika ulimwengu wa upweke,sonona na maumivu

    Habari wanazuoni. maisha yangu yote nimekua ni mtu wa kujitenga kukaa peke yangu muda mwingi . Pia nimekua ni mtu wa kusumbuliwa na msongo wa mawazo kwa muda mrefu sasa unao tokana na mfumo wangu wa maisha. Najitahidi kuwa na furaha pamoja na tumaini la kuishi lakini inashindikana kwani...
  15. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
Back
Top Bottom