Recent content by Jojo123

  1. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Ushauri, natarajia kuanza biashara ya vitu vya jumla vya dukani kutokea Dar es Salaam kuja mikoani

    Natakakuanza hii biashara niifanyie Dodoma.. naomba nikutafute DM unipe Maarifa flan nikuulize maswali machache ili nijue kama ita wezekana nisije wekamtaji. uka lala
  2. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

    Mkuu raman tuione nipenda gharam. ina maana mm nikiwa na 20milion na kiwwnja kipo tayar naweza maliza ila niko Dar Goba
  3. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Nauza vyombo vya ndani kwa anayetaka kuanza maisha

    Niko Njia ya kwenda tegeta kituo cha Mbuyuni.
  4. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Nauza vyombo vya ndani kwa anayetaka kuanza maisha

    Mbuyuni Tegeta
  5. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Nauza vyombo vya ndani kwa anayetaka kuanza maisha

    Hey wanajamii forum. Mimi nimeamua kuhama Dar naenda Zambia ila kama kuna mtu anataka kuanza maisha Dar, aje tuzungumze maana Chumba changu kipo sehemu nzuri ya kuanzia maisha na vyombo vyote nakuachia unanilipa kashi , unaanza maisha yako. Vitu vya ndani kwa Mtu anaye anza Maisha ni kama...
  6. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Ligi ya NBC kwenye TV3 kivip wakati Mkataba ni wa Azam TV

    Thank you
  7. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Ligi ya NBC kwenye TV3 kivip wakati Mkataba ni wa Azam TV

    Embu tu fafanulie Champion ship Vs Premier ligi.. Maana wwngine hatufuatilii sana ndio tuna taka tuanze kufuatilia ligi ukubwani.. Je hizo za champion ship.. Simba n Yanga zipo au ni timu za daraja la chin tu??
  8. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Ligi ya NBC kwenye TV3 kivip wakati Mkataba ni wa Azam TV

    Wana Jamii Kuna hawa jamaa wa Startimes wanatu tangazia kuwa tu lipie kifurushi cha Mambo cha 17,000/= ili kupata TV3 inayo onyesha Ligi ya NBC ambayo mimi nijuavyo Azam TV ndio wenye mkataba wa kurusha.. sasa Nashindwa kujua.. Tunaingizwa mkenge ili kulipia vifurushi aua hii TV3 watarusha Ligi...
  9. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Dini inanipa mkanganyiko

    Kama hii Damu ya Yesu inge kuwa inamaliza kila kitu kwa miaka ya maombi niliyopitia na matamko ya hiyo damu niliyofanyiwa na watumishi.. na mm mwenyewe hakika Ndugu zangu wangekuwa mbali sana leo hii.. na Mm ningesha kuwa Mtu katka watu.
  10. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kukutana na Mauzauza gani ya giza/uchawi katika Nyumba ya Kupanga au ulipohamia nyumba mpya?

    Kwenye huu uzi nimegundua tunao umizwa ni wengi sana.. hakika kila eneo kuna hitsjika nguvu ya Mungu
  11. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Dini inanipa mkanganyiko

    Embu ona hapo Same bible on one side against the other side.. These lines toument my faith .. .Maana mm ni muanga wa adhabu ya Baba na Mababu kulingana na Watumishi wanavyo niona karibia watumishi wa5 nilio kutana nao nyakati tofauti waliona makosa ya mababu na baba yangu ndio yamepelekea adhabu...
  12. Jojo123

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Fridge, inapooza vizuri bado ina upya wake

    Karibuni sanaa
  13. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Naombeni Mtu mwenye historia ya Mtume yoyote wa Mungu Aliye Logwa na Mchawi? Utakuta ni Muhamad tu, Sasa najiuliza Mwenye Nguvu ya Mungu na Uvuvio wa Roho Wa Mungu na Ulinzi wa Mungu kwa Takwa la Mungu, ANAWEZAJE KULOGWA??????????? Tutumie ata akili ndogo sana kujua Mtu huyu Hakuwa Mtumwa wa...
  14. Jojo123

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Watakao fatilia kwa undani hicho nilicho elezea hapo juu watakuja kuelewa ukweli wote uliofichwa kuhuu hizi din mbili
Back
Top Bottom