Dini inanipa mkanganyiko

Dini inanipa mkanganyiko

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
437
Reaction score
715
Embu ona hapo Same bible on one side against the other side.. These lines toument my faith .. .Maana mm ni muanga wa adhabu ya Baba na Mababu kulingana na Watumishi wanavyo niona karibia watumishi wa5 nilio kutana nao nyakati tofauti waliona makosa ya mababu na baba yangu ndio yamepelekea adhabu kwangu na kaka zangu.. Lakini nikiipitia biblia nakuta na verses zinazo nichangnya zaidi.. How come ? Am I Missing something on interpretation or what?

Soma hii hapa utafakari unisaidie kama sielewi.

Kutoka 20:5
[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Alafu kuna hii inapingana na hiyo ya juu.

KILA MTU ATA UBEBA MZIGO WAKE NA ADHABU YAKE:

Kumbukumbu la Torati 24 16
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.

Then, why is my family suffer from Mababu things??

Asanten
 
Embu ona hapo Same bible on one side against the other side.. These lines toument my faith .. .Maana mm ni muanga wa adhabu ya Baba na Mababu kulingana na Watumishi wanavyo niona karibia watumishi wa5 nilio kutana nao nyakati tofauti waliona makosa ya mababu na baba yangu ndio yamepelekea adhabu kwangu na kaka zangu.. Lakini nikiipitia biblia nakuta na verses zinazo nichangnya zaidi.. How come ? Am I Missing something on interpretation or what.!!?

Soma hii hapa utafakari unisaidie kama sielewi.

Kutoka 20:5
[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Alafu kuna hii inapingana na hiyo ya juu.!!

KILA MTU ATA UBEBA MZIGO WAKE NA ADHABU YAKE:

Kumbukumbu la Torati 24 16
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.

Then, why is my family suffer from Mababu things??

Asanten
You are suffering from mababu things because you put your faith on mababu. All the quotes you gave come from the OLD TESTAMENT. But we have the NEW TESTAMENT signed by the BLOOD OF JESUS CHRIST. Ndio hiyo inasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, this is a passage from the new testament.

You and your brothers should be sanctified in the blood of Jesus Christ. There is mercy and redemption in Jesus. Msikubali mambo ya mizimu, waganga, mambo ya mila za kale za mababu wa ukoo na laana zake. Tubuni, wekeni imani yenu kwa yule aliyefanyika kafara kwa ulimwengu mzima, naye ni Yesu Kristo, mtaona madai yote ya mababu yatakwisha! Muwe na imani thabiti, msifanye hivyo kwa kujaribu au bila imani thabiti. Kuweni watu wa sala na maombi, achaneni na dhambi mtakuwa salama.
 
Then, why is my family suffer from Mababu things??
Hakuna suffering yoyote maisha yako yanaongozwa na vitu vitatu muhimu sana ukivisimamia inavyotakiwa basi maisha yako hayatopata kua ya maandiko ya historia

1. Tabia - hii inaambatana na Nidhamu pamoja, utii na kuishi na watu vizuri, kuondoa ego (kiburi), dharau na kujiona wewe ni zaidi kuliko watu wengine kwenye hii dunia au kujiona wewe sio kitu kwenye hii dunia

Je! Una tabia gani wewe ? Jichunguze

2. Akili - hapa sasa utarudi kwenye suala zima la Maarifa ambalo limebeba vitu vitatu muhimu akili, hisia na utashi, sasa unajijua wewe una IQ yenye uwezo kiasi gani kwenye kupambanua masuala kadha wa kadhaa kwenye hii dunia

Je! Wewe ni wale ambao ukitumwa kadha unafanya kadhaa wa kadhaa ?

3. Kujitambua - hapa jiangalie unajijua wewe ni Nani umetoka wapi na unaelekea wapi ? Je! Unaijua Safari ya maisha yako unaenda uelekeo upi au unaenda enda tu kusindikiza wengine, unaishi kwa malengo na mipango au unaishi ilimradi kuishi tu, yaan una uwezo kisha unatumiwa na wengine funyanikisha wasichoweza au wewe ni mtu wa aina gani?

Je! Hadi huo umri ulionao umeshajitambua wewe ni Nani na upo kwenye hii dunia kwa sababu ipi na kwanini ?

Ukijijibu hayo maswali umechomoka uko Shimoni ulipo,

Alamsiki
 
Tatizo mnashindwa kuelewa katika biblia Kuna maagano matano Tofauti Tofauti
Linalotuhusu sisi ni agano la jipya agano la yesu.

Nyinyi waumini msio na akili mtauliza maswali haya yakijinga hata lini

Mbona yesu ameyaeleza yote haya

2 Wakorintho 3 msitari wa 1 hadi wa 18

Na ukasome kwa akili
Usipoelewa hapo basi hukukusudiwa nenda kwenye mzimu ya kijinini kwenu!
Ukateseke na laana.
 
Endelea kujifunza kwa nguvu zaidi
 
You are suffering from mababu things because you put your faith on mababu. All the quotes you gave come from the OLD TESTAMENT. But we have the NEW TESTAMENT signed by the BLOOD OF JESUS CHRIST. Ndio hiyo inasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, this is a passage from the new testament.

You and your brothers should be sanctified in the blood of Jesus Christ. There is mercy and redemption in Jesus. Msikubali mambo ya mizimu, waganga, mambo ya mila za kale za mababu wa ukoo na laana zake. Tubuni, wekeni imani yenu kwa yule aliyefanyika kafara kwa ulimwengu mzima, naye ni Yesu Kristo, mtaona madai yote ya mababu yatakwisha! Muwe na imani thabiti, msifanye hivyo kwa kujaribu au bila imani thabiti. Kuweni watu wa sala na maombi, achaneni na dhambi mtakuwa salama.
Kama hii Damu ya Yesu inge kuwa inamaliza kila kitu kwa miaka ya maombi niliyopitia na matamko ya hiyo damu niliyofanyiwa na watumishi.. na mm mwenyewe hakika Ndugu zangu wangekuwa mbali sana leo hii.. na Mm ningesha kuwa Mtu katka watu.
 
Back
Top Bottom