Lol ivi kufuli anaweza kweli kutamka kitu kwa kiingereza mbona Swahili lazima apinde mdomo? Tatizo hapo atakapo jaribu kuzungumza kwa kupinda mdomo lol.
Mimi binafsi ningependa marais wa African wawe na lugha moja. Swahili ndio mpango Tanzania. Ninyi wakimbizi uzalendo harakati hamwezi. Kwanza mmekana machimbuko yenu mna hang hang tu hewani. Swahili ni kipaumbele ata tutampa mkalimani tena ndio nzuri tunajali taifa letu kwanza. Ninyi endeleni...
Since juzi wameanza eti kutengeneza umeme. Walikua wapi wanategea kipindi cha uchaguzi waanze kuzima umeme. Rasmi juzi nimehamia CHADEMA wakati last time nilikua follower WA LOWASSA. Walipo anza kutuficha watanzania nili kasirika sana. For now wanatamani kila kitu kiwe manual. Hata hizi social...
Team nzima ya joka la KIJANI na UGALI WA YANGA wote wasanii eti nae nape gitaa anajua lazima anaimba taarabu pia!!! Hatutaki wasanii ikulu tunataka rais wanakata viuno. Wakati diamond yupo na adija kopa pamoja na yamoto band.
Wakacheze taarabu uko na kujifanya nao eti wasanii. Waliniuzi sana Jana eti kufuli anajipendekeza kwa wasanii ili apate nae kuongelewa. Hili jina lowasa litawasumbua sana.
Nakumbuka siku nilio mtumia le some1 sms ktk inbox yA kumshauri awe mfano kwa jamii kwa kuto kutukana kama anavyodai but kaishia kuniblock. Nilimuambia tu atumia maneno mazuri, anapenda kusema mother fanta!!!! Hilo tusi!!!!!
Taharab nyingi sana humu. Kwanini msiongee point?? Kwani mabadiliko na maendeleo ni ya nani? Au ninyi mnao shabikia vitu bila mpango mabalozi wa nyumba 10 sababu haongei vitu vya maana matusi na ujinga. Waza kama una akili.. Fikiri kabla hujasema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.