Recent content by Johnson12345

  1. J

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Ndo hivyo yashatokea. Nafikili watakuwepo tuu wanaambaa macho. Kumbuka aliyechukua mali hakuwa mke wa marehemu
  2. J

    Makamanda wa M23 wanadaiwa kutoonekana muda mrefu hadharani

    https://x.com/kivunews24/status/1756205071564431598?t=R456dxMGLJ03b0NF8Ko8KA&s=09
  3. J

    Shemeji yenu kaanza timbwili za Umama Kijacho mapema sana wadau. Hivi ni kwanini?

    Mkuu yule binti uliyempa ujauzito akawa anaogopa baba yake , imeishia wapi hio kesi.
  4. J

    Jamani, Msikimbie majukumu ya watoto wenu wa nje. Ukizaa jua kuna kulea mtoto

    Just imagine unaoa single mother. Na unachukua mtoto unakaa nae ndani, yani ndoa yako inaanza na mtoto , hata kukaa kidogo wewe na mke hata mwaka unaenjoy pamoja ndani , mnaanza na kerere za mtoto. Huko jamaa yeye akioa ndoa yake ananza huku hakuna mtoto kwenye ndoa .
  5. J

    Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Mara nyingine wanaume wanaokimbia watoto wanarudi kudai watoto kwa Sababu vifuatazo. 1. Huyo mtu kaingia kwenye Ndoa afu kashindwa kupata mtoto. Sasa akikumbuka ameacha mtoto sehemu flani basi anarudi. 2. Huko kwenye ndoa yake kashidwa kupata mtoto wa kike pale akiona ana watoto wa kiume tupu...
  6. J

    MREJESHO; Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Hajawabagua watoto kila mmoja kampa sawa kabisa.
  7. J

    MREJESHO; Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari wanajf. Nilileta uzi hapa kuhusu rafiki yangu mmoja ambaye alizaa nje watoto 2. Na mkewe alizaa nae watoto wawili. Thread 'Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?' Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi? Alipata kigugumizi kuhusu mali...
  8. J

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Sawa unaweza mkafanha hivyo ili its so pain kwa wanawake. Njia mzuri ni kugawana na mkeo mkeo achukue zake na wewe uchukue zako.
  9. J

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Kuna dada wiki hii alileta uzi kuhusu. Mume wake kuzaa nje akasema mali zangu mrithi ni huyu wa kiume. Aliaamua ni kudanga ili kuwajengea watoto wake kwa siri
  10. J

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Mimi ninavyojua hata mke na mume wakagawana kabla ya mume kufa kulimtu akabeba zake. Na hamkuachana. Mama anakuwa na mali zake na Baba anamali zake. Baba akifa hizo mali za baba watapata watoto wa ndani ya ndoa , wa nje na mke wa ndoa anapata pia kwa kutumia cheti cha ndoa. Ila mali za mama wa...
  11. J

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Chukulia mfano, Wewe na mumeo mnawatoto 4 wakike tupu. Miaka 20 iliyopita wewe ulimshauri mume wako mununue ekari 4 mbali na mjini. Mume wako akasema sawa ila wewe ukaamua kumchangia mume wako kidogo. Mkanunua, baadae mkaamua kujenga taratibu nyumba nne pale. Mlijinyima sana. Wewe kama mke...
Back
Top Bottom