Makamanda wa M23 wanadaiwa kutoonekana muda mrefu hadharani

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
750
Reaction score
1,427
Sawa na SoMo hapo.juu.

Hawa makamandawa kundi la waasi wa m23 ambao tulizoea kuwaona kwenye midia wakieleza misimamo ya kundi lao na kuendesha mapigano dhidi ya serikali Kwa Sasa ni muda hawaonekani tena wala kusikika.

Ukimya na kutoonekaa hadharani yawezekana tayari wameshauwawa kwenye harakati zao dhidi ya majeshi ya serikali?

Makamanda hao ni:

1. Col. Imani John Nzenze(kamanda msaidizi/Mwakilishi)
2. Gen. Sultani Makenga (Kamanda wa kundi)
3. Maj. Willy Ngoma(msemaji wa kundi)

Mwenye habari kuwahusu tafadhali
 
Kwa hiki kipigo cha sasa unawezaje kujionesha kaka??
Lazima ujitulize kwanza.
 
Hizo bomu zinatafuta tu location mlipo bc ziki hakikisha wapi mpo hakuna rangi mtaacha ona.

Gari kumi zitoe vitu kw wakat mmoja ni hatari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom