Chadema imuangaliaje ndugu yangu ,labda ungeweka wazi masharti ya zamana . mwenye uwezo wa kumsaidia amsaidie .charity begins with you ndugu yangu .Mwijuluuuu atamtoa tu ili apate mtaji wa kuzunguuka nae majukwaaani akidai katumiwa kisiasa then katelekezwa .
Swala sio amefanya kosa au hajafanya kosa swala ni JE wanapewa haki zao kama wadhaniwa maana jinsi polisi wanavyowafanya ni kama wameshatiwa hatiani na mahakama nawe pia usiwaaangalie kama chadema waangalie na wao kama binadamu wanao shukiwa je ikitokea hawana hatia ya ugaidi ? fikiri nje ya...
pole kwa majibu unayopata ndio jf ilivyo kuna mchanganyiko wa watu wenye fikra na mawazo tofauti humu .kama upo serious ni email johnsonmchaina@hotmail.com
baada ya kumpa kinana ukatibu mkuu anaenda kupanga mipango usiyopangika dhidi cdm .kinana alikubalika sana wakati ule ila sio sasa nguvu kubwa wakati ule ilitoka kwa walaji na wauza gomba .bado ccm ina kazi kubwa Arusha dhidi ya cdm japo kwa kinana ni karata nzuri kwa ccm .
Picha linaendelea mwanzo ilikuwa mawasiliano ya simu kwa sasa radiocall na funguo ya gari je ? Mwanzo viliripotiwa kupotea ! Good job policcm mkiamua mnaweza . ziko wapi kamera za Daudi mwangosi ! Wako wapi wauzaji wa madawa ya kulevya ! Wako wapi wauaji wa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi !w...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.