Wiki hii anafanya kampeni kata ya mabibo, anatembelea vikundi vya wajasiriamali na kugawa mshiko, tuliposikia nasi tukaunda kikundi feki wengine wakiwa ukawa, lakin siku ya uchaguzi kila mtu na maamuzi yake
Hakuna lolote bali ni ujinga wa kutaka kuishi kiholela, mapali ambapo tz imefika yahitaji msimamizi wa sheria asiye yumbishwa kama Magufuri, ndiyo maana waadirifu wote tuna mtaka Magufuri. Wakiukaji wa sheria ndiyo wasiyo mtaka Magufiri kwa sababu kuhofia kuishi kwa kufuata sheria. Viva Magufuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.