Kabla ya kumpigia kura kuwa John Pombe Magufuli kuwa rais wa Tanzania soma hapa

Ningetamani Magufuli asome hii Topic ili ajikumbushie unyama Wake. Leo hii anazunguka majukwani kuwaomba watanzania kura pasipo na soni usoni. Kweli sura ya mbwa ni ya mbwa tu haina aibu wala hofu.
Mkuu vipi kuhusu yule aliyekuwa akitumia nguvu kuchangisha pesa za ujenzi wa shule hadi kuwafanya wananchi kukimbilia mwituni?
 
Kigamboni aliwaambia wananchi kama hawana shilingi 200 za kulipia kivuko wapige mbizi wavuke baharini.

Nyinyi watu wa pwani wavaa MISULI Tabu tupu,kwahiyo watu wa kigamboni hawana 200Tsh?.Anyways kama hawana aliwaambia wavae sare za shule watavuka bure.Binafsi najua kabisa WAVUNJA SHERIA,MAFISADI,WAVIVU wanamchukia MAGUFULI.Alichoma mno makokoro lakini baadae watu walifurahia ongezeko la samaki ziwa viktoria.HUWEZ KUVUNJA SHERIA ZILIZOTUNGWA NA BUNGE KWA KISINGIZIO CHA UNYONGE.Hatutungi sheria kwa fedha nyingi then ZIKAE KAPUNI.
 
Mkuu vipi kuhusu yule aliyekuwa akitumia nguvu kuchangisha pesa za ujenzi wa shule hadi kuwafanya wananchi kukimbilia mwituni?
Huyu tulichangia shule zikabaki kuwa za umma na tunazitumia, yule akikubomolea nyumba na kunyang'anya kiwanja haubaki na chochote, unarudi kwenye umaskini wako
 
Nina hasira sana na JPM,aliweka X katika nyumba yetu ya familia na kisha ikavunjwa cha ajabu,mpaka leo hakuna kilichofanyika katika eneo hilo.Naahidi kulipiza X mimi na ukoo wetu katika karatasi ya kura.
 
Pumba kabisa wewe 1985 Magufuri alikuwa bado shule Jinga kabisa wewe , najua wewe kilaza kabisa, unapoandika uwe unafikilia kidogo tu siyo kujaza pumba zako hapa. Idiot moron.

Thats typing error alianza uwaziri 1995, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa sio anayeheshimu haki za binadamu wala kuwa na huruma na wananchi wanyonge kama ambavyo anataka watanzania wamwamiji ndio maana aliweza kutumia sheria za kikoloni kuwanyanyasa watu. Inawezekana wewe hata bei ya mfuko wa saruji hauijui
 
Nyinyi watu wa pwani wavaa MISULI Tabu tupu,kwahiyo watu wa kigamboni hawana 200Tsh?.Anyways kama hawana aliwaambia wavae sare za shule watavuka bure.Binafsi najua kabisa WAVUNJA SHERIA,MAFISADI,WAVIVU wanamchukia MAGUFULI.Alichoma mno makokoro lakini baadae watu walifurahia ongezeko la samaki ziwa viktoria.HUWEZ KUVUNJA SHERIA ZILIZOTUNGWA NA BUNGE KWA KISINGIZIO CHA UNYONGE.Hatutungi sheria kwa fedha nyingi then ZIKAE KAPUNI.

Hoja hapa ni kuwa chama chake hakipimi viwanja vyakutosha mijini hivyo kufanya bei ya viwanja vilivyopimwa kuwa kubwa kiasi cha wanyonge kulazimika kujenga holela. Hivyo kama umejenga holela hili ni angalizo tu usije kulia kulia huko mbeleni wakati mwenyewe ulichagua "CHAGUA MAGUFULI HAPA KAZI TU NI KUBOMOA NYUNBA ZILIZOJENGWA BILA VIBALI MIJINI"
 
Kwa hiyo kumbe suala ni huruma, na sio kufuata sheria??? aliyekuwa na huruma anaondoka maana mmemzoea mpaka mnamtukana kwenye mitandao kila kukicha naye huwa anacheka tu,,, marufuku kuvunja sheria sasa, ukivunja tunadeal na wewe,, na kama kijana unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na jasho kwani sasa hakuna malipo ya bure kwa wazembe mliozoea kupiga soga kwenye maofisi na kuwaza umalaya na pombe kila kukicha,, MAGUFURI IKIWEZEKANA KUWA KAMA HITTLER KABISA UUE WAZEMBE WOTE KWENYE TAIFA HILI LILILOJAA WAZEMBE WASIOWEZA KUFIKILI NA HATA KUJITUMA KATIKA KUJENGA NA KULIHESHIMU TAIFA LAO....
 
Thats typing error alianza uwaziri 1995, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa sio anayeheshimu haki za binadamu wala kuwa na huruma na wananchi wanyonge kama ambavyo anataka watanzania wamwamiji ndio maana aliweza kutumia sheria za kikoloni kuwanyanyasa watu. Inawezekana wewe hata bei ya mfuko wa saruji hauijui

-->PROPAGANDA FILED
-->error code: Dk.Magufuli waziri wa ujenzi mwaka 1985.
-->try another propaganda.
 
Pumba kabisa wewe 1985 Magufuri alikuwa bado shule Jinga kabisa wewe , najua wewe kilaza kabisa, unapoandika uwe unafikilia kidogo tu siyo kujaza pumba zako hapa. Idiot moron.

Katoka kuharisha
 
-->PROPAGANDA FILED
-->error code: Dk.Magufuli waziri wa ujenzi mwaka 1985.
-->try another propaganda.

Pinga nilichoweka hapa kuwa magufuli hajawahi kuagiza nyumba za watu zibomolewe kwakutumia sheria za kikoloni ambazo hazina uhai tena? Hajawahi kusimamia mazoezi kama hayo mwenyewe? Sasa itakuwaje kwa mamilioni ya watanzania ambao aamejenga ujenzi holela kwa kukiuka sheria ya mipango miji na 8 ya 2007? Kwa mtu yeyote ambaye amewekeza raslimali zake katika ujenzi wa makazi yake, jengo la biashara n.k anatakiwa kabla ya kumshabikia magufuli afanye tafakuri ya kina kuhusu hulka za mgombea huyu na kiwango chake utu ambao ameuonyesha ktk miaka 20 aliyokuwa waziri ndipo afanye maamuzi ya nani wa kumchagua. Haiingii akilini umchague mtu ambaye una uhakika atakubomolea makazi yako, jengo lako la biashara uliyoyapata kwa kutoa jasho la damu.
 
Katika kumpigia Magufuli rudisha mashamba uliyopata kifisadi kama ulifanya hivyo.Huyu RAIS WA AWAMU YA 5 yupo serious
 
Thats typing error alianza uwaziri 1995, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa sio anayeheshimu haki za binadamu wala kuwa na huruma na wananchi wanyonge kama ambavyo anataka watanzania wamwamiji ndio maana aliweza kutumia sheria za kikoloni kuwanyanyasa watu. Inawezekana wewe hata bei ya mfuko wa saruji hauijui

Hakuna lolote bali ni ujinga wa kutaka kuishi kiholela, mapali ambapo tz imefika yahitaji msimamizi wa sheria asiye yumbishwa kama Magufuri, ndiyo maana waadirifu wote tuna mtaka Magufuri. Wakiukaji wa sheria ndiyo wasiyo mtaka Magufiri kwa sababu kuhofia kuishi kwa kufuata sheria. Viva Magufuri.
 
Kwa hiyo kumbe suala ni huruma, na sio kufuata sheria??? aliyekuwa na huruma anaondoka maana mmemzoea mpaka mnamtukana kwenye mitandao kila kukicha naye huwa anacheka tu,,, marufuku kuvunja sheria sasa, ukivunja tunadeal na wewe,, na kama kijana unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na jasho kwani sasa hakuna malipo ya bure kwa wazembe mliozoea kupiga soga kwenye maofisi na kuwaza umalaya na pombe kila kukicha,, MAGUFURI IKIWEZEKANA KUWA KAMA HITTLER KABISA UUE WAZEMBE WOTE KWENYE TAIFA HILI LILILOJAA WAZEMBE WASIOWEZA KUFIKILI NA HATA KUJITUMA KATIKA KUJENGA NA KULIHESHIMU TAIFA LAO....
Kama kweli ni kufuata sheria anatakiaa kwanza kurejesha nyumba za serikali alizozigawa isivyo halali kwa vimada na ndugu zake. Hizo zingine ni swaga tu mbona amewashindwa wafanyakazi wa idara ya mizani waliokuwa chini ya wizara ya ujenzi, wameendelea kupiga deal za kuvusha malori yenye uzito mkubwa ktk kipindi chote alichokaa hapo wizarani na kutuharibia barabara zilizojengwa kwa mabilioni ya shilingi. Kinachotakiwa hapa Tz ni katiba mpya yenye maoni ya wananchi na sio mtu kujikweza binafsi. Angekuwa na uwezo huo wizara yake isingeongoza kununua vivuko vibovu.
 
Back
Top Bottom