Mgombea mwenza wa CCM aendeLea kukiuka taratibu

Mgombea mwenza wa CCM aendeLea kukiuka taratibu

Uwanja mkubwa wa jijini Tanga wa shule ya Usagara,ulifurika watu,na uwanja ulipendeza kwa rangi za kijani na manjano,nimeamini kweli CCM,inapendwa.Watu walikuwa wengi sana.

Uwanja Mkubwa wa jiji la tanga???? Acha kudanganya watu wewe.....️km ndivyo basi ata mashindano ya umiseta yangeshafanyika hapo lkn sijawah kusikia ata siku moja....kwa taarifa yako mm ni mwl. wa hapo ulipopasifia uongo
 
Uwanja mkubwa wa jijini Tanga wa shule ya Usagara,ulifurika watu,na uwanja ulipendeza kwa rangi za kijani na manjano,nimeamini kweli CCM,inapendwa.Watu walikuwa wengi sana.

CCM kupendwa isiwe sababu ya kuvunja sheria za nchi.
 
Hiyo sheria ya muda imewekwa kwaajili ya wapinzani.
 
Katika hali ya kushangaza mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu Hassan leo amechelewa kumaliza mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Usagara jijini Tanga.mama Samia alichelewa kufika mkutanoni,a lifika saa 12 kasoro na kuanza kuhutubia saa 12 kamili na kumaliza saa 12 na dakika 40.kwa mujibu wa taratibu mgombea anatakiwa kumaliza mkutano saa 12 kamili lkn taratibu ziliendelea kukanyagwa kanyagwa.

Wakati huo huo mpambe na mpiga debe wa CCM msanii Wema Sepetu amekutana na aibu alipoingia kwenye mgahawa uliipo mjini aliposema CCM oyee watu wote walikaa kimya. Alitamka mabadiliko watu wote kwa pamoja walimjibu Lowassa,baada ya kuzidiwa ndio aliposema eti huyo Lowassa mgonjwa. Kijana mmoja mpenda mabadiliko alimjibu hata raisi kikwete ni mgonjwa ndo maana alikwenda Marekani kufanyiwa operation ya tezi dume. Alipokutana na ugumu huo aliamua kuondoka zake huku akiwa hana la kusema.
CCM wanaamini Tanga ni ngome yao lkn hali imebadilika Tanga ya leo si ile ya 1995.

Hivi jamani Wema mzima kiafya? Au ndo nyani asivyoona nanihii lake...
 
Pelekeni malalamiko yenu NEC, huko ndipo watakaochukua hatua kwa huyo mama hapa JF unajisumbua tu, au mwanasheria wenu Tobo Lisu hajawaambia?

Mbona wengine mnawakamata pale pale jukwaani, huwa hamsubirii RB toka NEC?
 
Tanga ya leo sio ya mwaka arobaini na saba,mabehewa leo yanafugia wezi na kahaba,wenyewe huku tulizoea mijihonii,tangaaaa lunanii paleee
 
Leo TWAWEZA watatoa utafiti wao.. ambayo inaongozwa na miriam sarungi baada ya hapo siku zijazo REDET watatoa zao lkn nawaombeni mjue ni kwann JANUARY alitangaza asilimia zile,,,ule ulikuwa ni mpango ambao kwss utafuatiwa na TWAWEZA, halafu REDET yote yaki pendelea CCM na kutengeneza mazingira ya kuiba kura maana hawana namna nyingine. Kutokana hali hyo nawaombeni ndugu zangu msiwe na wasiwasi ppt ulipo endelea kupigana
Taarifa za uhakika nilizopata CCM imeandaa utafiti feki kupitia Twaweza....watasema Magufuli ana asilimia 68% na Lowassa 22%

Ripoti halali wanayo ya Lowassa kuongoza lakini watatoa ripoti Feki.

Kwa huu muda wa asubuhi mpaka saa 4 pigeni kelele kupitia njia mbalimbali kulaani ushenzi huu.Tumieni JF,FB,tweeter,Instagram nk...
 
kama ni kweli wema kadai hayo(Lowasa ni Mgonjwa).....basi atakuwa amechochea watu kumkebehi hazai(tasa)...
 
Tutaona mengi mwaka huu hata mwalimu anaelipwa mshahara na ccm nae yumo kwenye siasa
 
Hivi jamani Wema mzima kiafya? Au ndo nyani asivyoona nanihii lake...

Nanihii lake wapi.! Ni kundule. Huyo mtoto baada ya uchaguzi kupita lazima atembeze mboga mboga mitaani.
 
Uwanja kufurika nguo za kijani tafsiri yake ni kwamba wananchi wasio na vyama ambao ndio wapiga kura wa EL hawajahudhuria mkutano huo
 
Ccm ni chama imara

Ccm ni imara tatizo ni kuuwa viwanda vyote nakuuendelea kudanganya watu wawape muda zaidi wakati miaka 54 bado maskini wakutupwa maana ujinga wao ndiyo mtaji wetu
 
Back
Top Bottom