Vip kwa sperm donors? Nasikia siku hizi mke wako anapewa mbegu za mwanaume zilizopo maabara za hospital anashika mimba tu bila mwanaume aliyetoa hizo mbegu kujua
Sijajua gharama zake lakini
😂😂😂
Lakini Uislam ndio njia ya kweli, angalia tu mfumo wa familia kwa nchi zinazofuata ulibeatali wa kimagharibi ni kuwa umefutika, sehemu nyingi ni ma single mother sasa ndio imekuwa kama default,
Ushoga nao inakuwa promoted kwa nguvu sana, usagaji, Kuna wanaume nao wanaojitangaza kuwa ni ma...
Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza.
Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto...
Saudi Arabia imekataa ombi la Israel la kutaka kujiunga kwenye vita Yao dhidi ya Houthis
Kukataa huko kwa Saudi Arabia ni sababu imeona sio jambo la busara kuungana nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.