Recent content by John120

  1. John120

    Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

    Kweli shingo imebeba kitu kingine kizito ambacho hakina kitu......Amri jeshi sio mwanajeshi.
  2. John120

    Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Nyie wote walamba matrako angekuwa anawasikia nadhani mngekula teuzi .
  3. John120

    Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514

    Acha kutisha watu wewe Acha kutisha watu wewe.... Umoja gani wa kis£ng£ kiasi hicho.
  4. John120

    PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

    Tumia hii dawa mkuu nakuambia itakusaidia .....
  5. John120

    Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

    Mkuu tumia hiyo dawa ....zinapatikana Pharmacy .....zinauzwa elfu 17 mpaka 20 utapona kaka ondoa wasiwasi
  6. John120

    Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

    Hakuna confirmation report ya kusajiliwa kwa huyo dogo.....
  7. John120

    Rais Samia aamuru Wasaidizi wake wamtoe nje ya uwanja mtu mmoja kwenye Sherehe za Mei Mosi

    Anapigiwa makelele Mungu sembuse Rais......? Anatakiwa asikilize watu waliomweka hapo alipo!
  8. John120

    Mbunge ahoji kuhusu misafara ya viongozi

    Hizi nafasi za kupeana peana,inafikia kila muda unalamba kisimbuzi cha aliyekuteua ili kutotenguliwa
  9. John120

    Naomba majibu ya maswali haya

    Ni awamu ya kundi la wahuni na wapiga dili
  10. John120

    Ajira za TAMISEMI

    Hakuna kitu kama hicho .....scan vyeti na andika barua tupia,,,,,,,subiri mkeka
  11. John120

    Rais Samia, achana na majina ya magarasa unayoletewa

    Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi katika wizara au katika nafasi uliyompa mpumzishe kuna watu wako very smart tofauti na hao...
  12. John120

    USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

    Mkuu wazo na uzi wako una nia nzuri lakini si hawa wabunge washed brain
Back
Top Bottom