PICHA DIRECTOR NICK NA MAKAMU II WA RAIS WA ZANZIBAR.
Mwanahabari na muongozaji wa video Nickson Sawe maarufu kama Director Nick akiwa huko visiwani Zanzibar amekutana na kupiga picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ukumbi wa Baraza la...
Wananchi wa kata ya Kiru wilaya ya Babati mkoani Manyara wameiomba serikali kukarabati zahanati ya Kiru six inayotegemewa na vijiji sita vya kata hiyo na vijiji jirani, ili iweze kutoa huduma bora za afya.
Hayo yameibuliwa katika mkutano wa mbunge wa jimbo la Babati vijijni- Naibu waziri wa...
Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana.
Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Tathmini ya Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoadhimishwa Jijini Dar es Salaam Aprili 26, 2024 pamoja na...
Na John Walter -Manyara
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Manyara imeokoa zaidi ya Shilingi milioni 44 katika oparesheni zake za uchunguzi na ufuatiliaji.
Mkuu wa taasisi hiyo mkoa wa Manyara Suzana Raymond amesema hayo ofisini kwake leo April 23,2024, mjini...
MAADHIMISHO.
Ni miaka 25 sasa tangu kuanza kwa huduma ya mtoto na kijana (COMPASSION)
KAULI MBIU
"Malezi bora kwa ulinzi wa mtoto".
Huduma hii inamwezesha mtoto kusoma katika ngazi zote na kuwakomboa katika hali ya umasikikini kupitia Shirika la Compassion International.
Vijana wengi wasomi...
Mahakama ya wilaya ya Babati umemhukumu kifungo cha maisha jela Yunusu Juma (18), Mkazi wa Kijiji cha Mawemairo kata ya Magugu Mkoani Manyara baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita.
Hukumu hiyo imetolewa, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Manyara...
Mahakama ya Wilaya ya Hanang imemhukumu aliyekuwa Mkusanya Mapato kwa kutumia mashine ya POS wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Bw. PETRO MICHAEL MURAY.
Mshitakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la ubadhirifu kosa ambalo ni kinyume na kifungu cha 28(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya.
Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
John Walter-Manyara
Kampeni Mpe Maua atabasamu asome kifalme imezinduliwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
Kampeni hiyo inalenga kuboresha sekta ya Elimu mkoani humo ikiwa ni adhma ya serikali ya awamu ya sita kila mtoto apate elimu ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza elimu ya...
Na John Walter-Mbulu
Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi.
Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
Na John Walter-Babati
Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro Twange ameagiza watu waliovamia eneo la Msitu wa asili wa kijiji cha Endaw hekari 192 katika kata ya Qameyu Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara kuhama haraka na kusitisha Shughuli zote. Msitu huo ulianza mwaka 2010.
Twange...
UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MONDULI WALETA MVUTANO
Na John Walter-Arusha
Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Monduli Thomas Meiyan, ameiomba kamati ya ulinzi na usalama iliyopo chini ya mwenyekiti mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe kuharakisha uchunguzi wake uliokuwa unaendelea ili...
Na John Walter-Manyara
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brand Ltd David Mulokozi ametoa msaada wa Fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kusaidia makundi yenye mahitaji maalum.
Akikabidhi fimbo hizo kwa...
Na John Walter-Manyara
Mkuu wa mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere amesema serikali itaendelea kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kuwapatia huduma zote zinazohitajika kama watu wengine.
Amezungumza hayo katika kongamano la watu wasioona linalofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.