Recent content by John Thomas

  1. J

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Vp, mpaka muda matokeo huko yakoje?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    Unataka ujumbe ukufikie au kiswahili?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkubwa Fella awajibu wanaodai anawadhulumu Yamoto Band

    Achana nao hawa watz kwa kochonga ndio wenyewe hata mradi wakuuza bisi hawawezi kuusimamia
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

    Si akawe mwenyekiti
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ya Mbowe,Mkumbo,Gambo na Lema:Stori tatu tofauti,ujumbe wa aina mbili!

    Ktk hzo hoja, lengo ni kuijenga nchi yetu. Mbowe huwezi kumtenganisha na kilichotokea ktk kutolipa deni au kodi ya pango. Ugomvi wa gambo na lema hauna maana kwan huo mradi ni kwa faida ya watanzania wote na c hao Wawili zaidi naweza sema wamejawa na umimi fulani usio na maana kwetu. Na hili...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais ametumia Moral authority sio legal authority

    Amefanya jambo la hekima na busara machoni pa watu. Waafrika tumezoea kupeana sifa za uongo pindi mtu anapofarik, laiti tungekuwa tunaambizana ukweli unafiki ucngalikuwepo
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Tibaijuka kumwakilisha ktk mkutano wa Habitat III

    Naona kateu mtu anaeweza kumuwskilisha vzr kulingana uzoefu alionao ktk shirika hilo. Kwenye suala la kimaendeleo na maslahi ya taifa naomba tuache siasa
Back
Top Bottom