Suala la uwajibikaji ni lazima liwe la kipaumbele sana ,juu ya watu AMA mtu anayekuwa kinyume na misingi ya Chama,pasipo kujari,ushawishi wake, jina ,cheo wala pesa,hata hapa binafsi naona ni uamuzi sahihi sana KAMA KWELI Zito na wenzake wamekiuka utaratibu wa Chama.
Sio kweli kuwa vijana...