Napendekeza Alfonce Mawazo apewe Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA

Wanajamvi

Naomba kwanza nieleweke kuwa sina ukaribu wowote na kamanda Alfonce Mawazo zaidi ya kuifahamu vyema kazi anayoifanyia chadema kanda ya ziwa.

Kamanda Mawazo aliachana na kazi yake mkoani Arusha na kuhamia alipozaliwa kanda ya ziwa kuyasulubisha magamba na binafsi nimemfuatilia akikieneza chama ktk mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Simiyu na Mkoa wa Mara kwa usafiri wake binafsi.

Kamanda Mawazo aliachana na udiwani wa Sombetini kwa tiketi ya ccm na kuamua kueneza sumu dhidi ya chama chake cha zamani ccm.

Kazi anayoifanya kanda ya ziwa ni zaidi hata ya mbunge anayetoka kanda hiyo na amekuwa mahiri wa kujenga hoja hatua inayopelekea cdm kung'aa vijijini kanda ya ziwa.

Kijana huyu msomi toka busanda ana uwezo wa kulea chama kwa nafasi ya NAIBU KATIBU MKUU.

Naunga mkono hoja na pia Tundu Lissu awe Makamu wa Mwenyekiti, Lema Mkurugenzi wa Fedha na Msigwa achukue nafasi ya Mnyika... Safari ya CHADEMA itakamilika!
 
anauwezo wa kuvumilia lang'ahi laini za magamba //mfn;-akiahidiwa mil 300 cash,na mjengo kinyerezi na mshahara wa 4.ml kwa mwezi kwa miaka 5 ijayo, hataweza kuiuza cdm yetu? nahitaji majibu fasta

mkuu umeuliza swali nzuri sana. Mbona Zitto kaweza, pesa kitu kingine bana
 
mawazo huenda ametumwa na ccm tukimpa cheo mapema itatugharimu baadaye ushauri tusubiri mpaka muda ufike angalau hata mwaka 2014 ndo tumpe cheo...

Kuna watu wa kutumwa lakini kwa Mawazo kazi anayoifanya kwa wananchi kwa hivi sasa ni kipimo tosha ,mtu aliyetumwa hawezi kuibomoa CCM kiasi Hicho halafu awe miongoni mwao,
 
Mawazo kiongozi wa chama??? akihama tena itakuwaje?? Huyu alikuwa TLP akaenda CCM then CDM huyu ana ugonjwa wa kuhamahama vyama

Kama Chama misingi Yake si kutetea umma wa Wanyonge,kwa kiongozi aliyejotoa kwaajili ya kutetea wananchi Hana budi kukiacha, na kuunga a na Chama cha wananchi,Mawazo yupo sahihi,maana huko pote alipopita vyama hivyo haviko kwaajili ya kutetea mastahi ya umma Bali Vipo kwaajili ya kuneemesha viongozi wake
 
anauwezo wa kuvumilia lang'ahi laini za magamba //mfn;-akiahidiwa mil 300 cash,na mjengo kinyerezi na mshahara wa 4.ml kwa mwezi kwa miaka 5 ijayo, hataweza kuiuza cdm yetu? nahitaji majibu fasta

aahidiwe vyote hivyo kwa kipi special alichonacho yule mwalim>? yule ni malaya wa siasa zaidi ya swahiba wake Lema.

ivi kupiga kelele ndio kujua kujenga hoja? ivi kweli kwa akili yako ya mbuzi mawazo anaweza kufanya mdahalo hata na Sadifa?
 
Malaya wa siasa ndio mtu wa aina gani huyo? Maana sijaona mantiki katika uchangiaji wako zaidi ya ku jaribu kutufanya Tuhisi Kama vile unavyohisi wewe....Mawazo sio size ya Sadifa,Zidisha kina Sadifa Kama Mia moja hivi,Jamaa siasa anaiweza,
 
Wanajamvi

Naomba kwanza nieleweke kuwa sina ukaribu wowote na kamanda Alfonce Mawazo zaidi ya kuifahamu vyema kazi anayoifanyia chadema kanda ya ziwa.

Kamanda Mawazo aliachana na kazi yake mkoani Arusha na kuhamia alipozaliwa kanda ya ziwa kuyasulubisha magamba na binafsi nimemfuatilia akikieneza chama ktk mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Simiyu na Mkoa wa Mara kwa usafiri wake binafsi.

Kamanda Mawazo aliachana na udiwani wa Sombetini kwa tiketi ya ccm na kuamua kueneza sumu dhidi ya chama chake cha zamani ccm.

Kazi anayoifanya kanda ya ziwa ni zaidi hata ya mbunge anayetoka kanda hiyo na amekuwa mahiri wa kujenga hoja hatua inayopelekea cdm kung'aa vijijini kanda ya ziwa.

Kijana huyu msomi toka busanda ana uwezo wa kulea chama kwa nafasi ya NAIBU KATIBU MKUU.
Bado ni mapema sana kumwamini, huenda amekuja kwa kazi maalum unajuaje?
 
Wanajamvi

Naomba kwanza nieleweke kuwa sina ukaribu wowote na kamanda Alfonce
Mawazo zaidi ya kuifahamu vyema kazi anayoifanyia chadema kanda ya ziwa.

Kamanda Mawazo aliachana na kazi yake mkoani Arusha na kuhamia
alipozaliwa kanda ya ziwa kuyasulubisha magamba na binafsi nimemfuatilia
akikieneza chama ktk mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Simiyu na Mkoa wa
Mara kwa usafiri wake binafsi.

Kamanda Mawazo aliachana na udiwani wa Sombetini kwa tiketi ya ccm na
kuamua kueneza sumu dhidi ya chama chake cha zamani ccm.

Kazi anayoifanya kanda ya ziwa ni zaidi hata ya mbunge anayetoka kanda
hiyo na amekuwa mahiri wa kujenga hoja hatua inayopelekea cdm kung'aa
vijijini kanda ya ziwa.

Kijana huyu msomi toka busanda ana uwezo wa kulea chama kwa nafasi ya
NAIBU KATIBU MKUU.

Kusema kweli nimefurahi kuona kuna watu wananiwazia mema na
kuniamini,zaidi sana ni namna wanajamvi walivyochukua muda wao
kuliongelea jambo hili,ingawa kwa sasa sote tunajua chama chetu kinapitia wakati muhimu kwenye safari ya kuelekea lkulu,ni vyema sana tukajikita kwenye kukikiimarisha na kukijenga,nafasi ya uanachama bado ni uwanja mkubwa kwa mwenye nia ya dhati.
 
Usitufanye watoto wenzako, hiyo michezo yenu pelekeni BAVICHA kubadili ID kuja kujipalilia unga.
 
Malaya wa siasa ndio mtu wa aina gani huyo? Maana sijaona mantiki katika uchangiaji wako zaidi ya ku jaribu kutufanya Tuhisi Kama vile unavyohisi wewe....Mawazo sio size ya Sadifa,Zidisha kina Sadifa Kama Mia moja hivi,Jamaa siasa anaiweza,

unaijua historia ya mawazo au unaropokwa tu kwa vile amejiunga kwene Saccos? yule hafai hata kua mwenyekiti wa kitongoji. waulize wana sombetini alivyowatelekeza
 
tunakushukuru sana kwa kutambua uwezo mkubwa sana wa kamanda mawazo , moja ya hoja ya masalia ilikuwa ni kijiba cha roho kuona mawazo amepewa eneo la kuimarisha chama wakati wao wanafagia korido za serena hotel !
 
Wanajamvi

Naomba kwanza nieleweke kuwa sina ukaribu wowote na kamanda Alfonce Mawazo zaidi ya kuifahamu vyema kazi anayoifanyia chadema kanda ya ziwa.

Kamanda Mawazo aliachana na kazi yake mkoani Arusha na kuhamia alipozaliwa kanda ya ziwa kuyasulubisha magamba na binafsi nimemfuatilia akikieneza chama ktk mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Simiyu na Mkoa wa Mara kwa usafiri wake binafsi.

Kamanda Mawazo aliachana na udiwani wa Sombetini kwa tiketi ya ccm na kuamua kueneza sumu dhidi ya chama chake cha zamani ccm.

Kazi anayoifanya kanda ya ziwa ni zaidi hata ya mbunge anayetoka kanda hiyo na amekuwa mahiri wa kujenga hoja hatua inayopelekea cdm kung'aa vijijini kanda ya ziwa.

Kijana huyu msomi toka busanda ana uwezo wa kulea chama kwa nafasi ya NAIBU KATIBU MKUU.

chama kina utaratibu wake, kikatiba, wa kupata viongozi. hatufanyi kazi kwa mitandao ya kijamii
 
Well said. Kmanda Mawazo si kama ZZK anaedai mwanachadema huku akifanya kazi ya ccm. Mawazo karibia kavuruga kanda ya ziwa yote.
 
He is the man, probably can fitt the position which others failed 2 do so..kama chama kitamuamin na kumpa nafasi hakuna shaka juu ya utendaji wake kikazi
 
Wanajamvi

Naomba kwanza nieleweke kuwa sina ukaribu wowote na kamanda Alfonce Mawazo zaidi ya kuifahamu vyema kazi anayoifanyia chadema kanda ya ziwa.

Kamanda Mawazo aliachana na kazi yake mkoani Arusha na kuhamia alipozaliwa kanda ya ziwa kuyasulubisha magamba na binafsi nimemfuatilia akikieneza chama ktk mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Simiyu na Mkoa wa Mara kwa usafiri wake binafsi.

Kamanda Mawazo aliachana na udiwani wa Sombetini kwa tiketi ya ccm na kuamua kueneza sumu dhidi ya chama chake cha zamani ccm.

Kazi anayoifanya kanda ya ziwa ni zaidi hata ya mbunge anayetoka kanda hiyo na amekuwa mahiri wa kujenga hoja hatua inayopelekea cdm kung'aa vijijini kanda ya ziwa.

Kijana huyu msomi toka busanda ana uwezo wa kulea chama kwa nafasi ya NAIBU KATIBU MKUU.

Tafadhali...................... kwa kiwango kipi? Let's put bias aside!
 
Back
Top Bottom