Napendekeza Alfonce Mawazo apewe Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA

unaijua historia ya mawazo au unaropokwa tu kwa vile amejiunga kwene Saccos? yule hafai hata kua mwenyekiti wa kitongoji. waulize wana sombetini alivyowatelekeza

Sas wanasombetini kina nani wakati mi mwenyewe niko Sombetini ,wewe ndio unalopoka bila research ,unalazimisha tu hisi Kama unavyohisi wewe...Toa sababu zinazotetea ushawishi wako ndipo tutakuelewa otherwise kaa kimya acha kuongea kwa hisia
 
Kusema kweli nimefurahi kuona kuna watu wananiwazia mema na
kuniamini,zaidi sana ni namna wanajamvi walivyochukua muda wao
kuliongelea jambo hili,ingawa kwa sasa sote tunajua chama chetu kinapitia wakati muhimu kwenye safari ya kuelekea lkulu,ni vyema sana tukajikita kwenye kukikiimarisha na kukijenga,nafasi ya uanachama bado ni uwanja mkubwa kwa mwenye nia ya dhati.

Kamanda ,unaongea nini wewe? Tulia the time has come,hapo juu panalega panahitaji watu shupavu Kama wewe, we know you and tunaona nini unafanya ,
 
Back
Top Bottom