Recent content by John Mwaisengela

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kudisplay TIN kwa wafanyabiashara kwenye mitandao

    https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/ Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo , leo nimefanikiwa kukutana na idara ya elimu tra na kuhitaji ufafanuzi. Nimeona nami niweze share na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baba levo alikua hajui mswada na hata sheria za kodi hazijui na ni mbunge

    Ukisema sifa ya mbunge ni kusoma na kuandika , je kazi ya mbunge ni ipi? Maana navyojua kusoma na kuandika kunamfanya aweze pitia sheria kanuni na taratibu ili awe mwelewa.Sasa kama anajua kusomahalafu hajui hizo taratibu ni kitu cha kuhuzunisha mno. Maana kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

    Nampongeza sana mtumishi wa tra kwa kuwa jasiri na mwenye maadili. Haiwezekani mwenye mali mwenyewe hataki sema shida halafu afisa ndiyo atoe taarifa za mwenye mali. Hapo angesema tatizo ilikuwa imekula kwake maana angebadilishiwa kibao kuwa mbona unatoa siri za mlipakodi. Nakumbuka Baba levo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Zamani watoto waliosoma primary english medium walikuwa wanaishia la sita wanarushwa form one. Leo hii la 7 wanalazimishwa kusoma pre form one. Why?

    Kwanza nikupongeze sana mleta uzi huu. Hii kitu imezidi shamiri sana na wanalazimisha hivo kwa kusema usipompeleka pre form one hatuchukuliwa January. Kibaya zaidi hawa watoto unakuta mwaka mzima darasa la saba wamekuwa shule na siku hizi wameanzaisha lazima boarding na masaa kwa siku zaidi ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu mchukulieni hatua mwalimu Shabani kwa unyanyapapaa kwa sikieni kilicha binti yangu Ngeruke Kondo

    Labda ungeweka taarifa vizuri ni shule gani na ipo wapi
  6. J

    JamiiForums Tanzania TRA wahusike pia kugawa mapato.

    Nimekuelewa Ndg kwamba kwa kiasi tra wameaminika zaidi na unashauri kwa kuaminika huku wapewe jukumu hili.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hili la Kutaka Ma Bus yote yaingie MAGUFULI BUS TERMINAL , ningekupongeza bwana Chalamila

    Nilitarajia ungeanza na ushauri wa kuondoa malori ambapo Dar yote imekuwa ICD sababu bi hatari mno yale malori yanapopita na kontena na kusababisha pia foleni. Mimi niombe sana Serikali ilitazame hili la mabasi maana abiria tunateseka mfano mtu kwa sasa ambaye anaishi sinza au Tabata au Magomeni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania TRA wahusike pia kugawa mapato.

    kwanza kabisa labda nikusaidie TRA wamepewa jukumu la kukusanya tu. Na fedha hizi zinakwenda moja kwa moja kwenye mfuko au akaunti zilizopo Benki Kuu ya Tanzania.Hilo ndilo jukumu lao kuhakikisha kodi inakusanywa kwa mujibu wa sheria zilizopo na kufikisha benki kuu. Bunge kazi yake kubwa ni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tunaunga mkono kwa kauli ya RC kurudisha mabasi yote katika stendi ya Magufuli Mbezi

    Mimi kwa hili bado nashauri kilichopo sasa sio tatizo kwani tukumbuke abiria wengi hawatoki Mbezi abiria wanatoka mbali na mbezi na wengine wanawatoto. Kualazimisha stendi mbezi ni kuzidi kuwaongezea abiria mzigo wa garama. Kama ni mapato kwani hizo stendi binafsi hakuna malipo wanayolipa kwenye...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbona misafara ya marais ya nchi zilizoendelea sio kama misafara ya marais ya nchi za Afrika

    Ndg Amatara. Sidhani kama hii ni kweli sababu fatilia utagundua hata hizo nchi ulizozisema nao misafara ni mukubwa sema wenzetu uchumi wao haina impact sana. Tafuta kiongozi wa Marekani, Urusi, China , India, Pakistani, Ujerumani utaona ni hivi hivi . Nchi pekee ambazo nimekuwa nazishangaa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika maadhimisho ya miaka 30 yake

    Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), napenda kuchukua fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa viongozi, menejimenti na wafanyakazi wote wa TRA kwa kazi kubwa na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chote cha miaka hiyo. Kwa hakika, miaka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini walinzi wa Magufuli walikuwa wanavaa sare za CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kwa ufahamu wangu walivaa vile kwanza ni kujaribu kuficha uwepo wao kirahisi na siyo tu kwenye kampeni hata ikiwa sherehe za mwenge wapo wanaovaa sare kama wanakamati ya kuratibu mwenge. Jukumu la ulinzi wa viogozi siyo rahisi kama wengi tunavyodhania na ndiyo maana hawa walinzi hawana mchezo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

    Ili usajiliwe VAT ni kweli kuna watu wa aina tatu !: Uwe unauza bidhaa au uduma zinazotozwa kodi ya VAT 2: Unajihusisha na huduma za kitaalamu 3: Unatarajia kufanya biashara yenye kodi ya vat ambpo mwisho wa siku utaikia kiwango hicho cha usajil yaani 200 mlioni. Sasa ushauri fika TRA ambapo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

    Mimi hua nawashangaa watu unapigiwa tu simu unakurupuka kwendaukiona hivo jua unatatizo ama la akili au kazi zako ni chafu.Huwezi kuwa makini ukawa na wasiswasi. Sasa kwa nini hukuwauliza mawali hayo huko huko? Navyofahamu tra mpaka wakute utakuta kwanza walishafanya makadirio hujalipa au...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Lengo la kuanzishwa TAKUKURU lilikuwa ni nini?

    Kikosi cha Kuzuia Rusha enzi hizo ni kikosi ambacho kilianzishwa miajka ya 70 kama sitakuwa nimeshau na Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere kwa lengo la kuzuia rushwa. Kikosi hiki ambacho ofisi zake zilikuwa Mtaa wa Milambo kilifanya kazi zake kwa weledi sana na ninawakumbuka viongozi wa wakati...
Back
Top Bottom