Una wazo zuri sana ndugu lakin sh milion moja haitatosha kwa kilimo cha mchele, ufuta, mahind na maharage labda kama umekusudia zao moja kati ya hayo..
Alaf hii ya kakobe nilisikia juu juu hivi ilikuaje!??
Na sasa hivi yupo wap!??
Kashfa yake nilisikia kuna chumba chake cha siri kuna muumini ameingia basi mambo ndo yakawa tafrani lakin nasikia yule alieingia hicho chumba amesha dedishwa
Changamoto zisingekuwepo kila mtu angelima , tupo dunian kwa ajiri ya kuzikabiri changamoto na kukata tamaa sio busara
Hata shetani ana changamoto zake
Hiyo bei ya kwa mkulima ndugu naielewa mi nasema bei ya kuuza dar es salaam ni 80,000... na ukitumia kilimo cha umwagiliaji unapunguza risk pia mbolea inahusika ili kukuza vizuri na kisishambuliwe na wadudu...
Alaf pia hata mtu ukiwa raisi wa nchi sio kwamba wewe utakula raha tu ya madaraka pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.