Natafuta shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo Morogoro

omoghaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
293
Reaction score
167
Naombeni kwa mwenye kujua eneo zuri la kilimo cha Mahindi,Ufuta,Mchele au Maharage kwa Mkoa wa Morogoro anijuze.Nina mtaji wa Millioni moja nataka kujaribu kilimo.Naomba mnifahamishe wilaya na ikiwezekana kijiji ambacho naweza kufanya kilimo na nikapata faida.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Nenda pale mikese ingia ndani kidogo wanakodisha mashamba ni ardhi nzuri kwa hayo mazoea....uchukue eneo lililokarb na mto ili mvu ikizingua utumie umwagiliaji
 
Wanakodisha shilingi ngapi kwa heka?
Je,sijachelewa msimu wa kilimo?.
Ni aina gani ya mazao yanalimwa huko?
 
Mashamba ya Moro ya migogoro.

Nenda kalime moshi hakuna migogoro
 
mashamba yanapatikana maeneo ya kisaki moro vjijn kwa mpunga ufuta na mahind na bado hujachelewa jama unahtaji tuyajenge mkuu. ila unitoe chochote me nikufanyie mipango fasta. hata leo
 
Ni PM tuongee.
 
Naombeni kwa mwenye kujua eneo zuri la kilimo cha Mahindi,Ufuta,Mchele au Maharage kwa Mkoa wa Morogoro anijuze.Nina mtaji wa Millioni moja nataka kujaribu kilimo.Naomba mnifahamishe wilaya na ikiwezekana kijiji ambacho naweza kufanya kilimo na nikapata faida.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Una wazo zuri sana ndugu lakin sh milion moja haitatosha kwa kilimo cha mchele, ufuta, mahind na maharage labda kama umekusudia zao moja kati ya hayo..
 
Nimekusudia zao moja kati ya hayo.
 
mashamba yanapatikana maeneo ya kisaki moro vjijn kwa mpunga ufuta na mahind na bado hujachelewa jama unahtaji tuyajenge mkuu. ila unitoe chochote me nikufanyie mipango fasta. hata leo
mkuu mashamba bado yanapatikana?? naoma uni PM CONTACT ZAKO
 
Back
Top Bottom