Inakuaje ma Great Thinkers wana argue na kutuhumu watu wengine bila hoja?
CCM ndio chama pekee Tanzania chenye SERA madhubuti na wanachama wenye weledi wa kutosha na kuaminika.
Kuwa muwazi humu JF kuna threads lukuki kuwahusu Dr Slaa,Makamba,Muhongo,Prof Mwandosya,Mnyika nk iweje za Mh EL ziwe nongwa?
Heri asiye na mashaka nae!
Ni kweli akili yangu ina tatizo huwa simhukumu mtu kisa watu wengine wanamhukumu pasipo kumchunguza.Heri yako wewe unayewaamini madaktari na sio taaluma zao.
Mpaka wakati huu dakika chache baada ya kuwasili mkoani Geita katika viwanja vya CCM tayari amekwishapata wadhamini 45.
Muda si mrefu ataongea na wana Geita na wana CCM kwa ujumla.
Hakika huyu anaweza kuwa suluhisho la matatizo ya Watanzania akichaguliwa kuwa Rais wa JMT.
Tayari mtia nia huyu na Rais mtarajiwa wa awamu ya tano ya serikali ya JM wa Tanzania kupitia CCM amekwisha ingia uwanjani.
Leo ninawaombeni watoa mada wote mashuhuri wa JF na mashabiki na wachangiaji tumpe nafasi TUMSIKILIZE akituambia kinachomsukuma kuiwania nafasi ya kuiongoza TAASISI...
I dont know who you are and i dont know what you want.If you are looking for ransom I CAN TELL YOU i have no money what i do have are particular set of skills i have acquired over a long career skills THAT MAKE ME A NIGHTMARE for people LIKE YOU.If you let my daughter go.....
Ukishindwa kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.