Nahitaji kwa wingi kwa bei ya jumla siyo reja reja ili na mm nikafanye biashara,je mnaanzia pc ngapi ili niweze kuchukua kwa jumla jumla na bei yake ikoje?
Kuna aina mbili za mashine ya kukamaua alizeti nimezipenda natamani niagize moja wapo toka china ndogo ni USD 1,410 na kubwa ni USD 3,280 mpaka inafika bandari yetu ya dar, hofu yangu ni kumudu gharama za kukomboa bandarini, kwa anaye fahamu anisaidie ufafanuzi wapo wanasema ushuru umeondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.