Kaboya Kenneth
JF-Expert Member
- Aug 4, 2009
- 286
- 278
Vifungashio tulivyonavyo kwa sasa ni Jerry can za lita 1, 3 na lita 5. Tunapatikana Dar, Kimara stopover 0754335844.
Tunapatika
Vifungashio tulivyonavyo kwa sasa ni Jerry can za lita 1, 3 na lita 5. Tunapatikana Dar, Kimara stopover 0754335844.Tunapatika
10 na 20ltr hatuna.Mkuu plastic jerry can za ujazo 10-20l unazo? Ila rangi ya njano
Naomba kukuuliza kwa Tanzania kuna kampuni wanazalisha kwenye ujazo huo?10 na 20ltr hatuna.
Silafrica na Jambo, wote wapo barabarani ya nyerere.Naomba kukuuliza kwa Tanzania kuna kampuni wanazalisha kwenye ujazo huo?
Tsh 500 kwa moja. Karibu.lita 1 unauzaje?
Tsh. 1050 kwa ltr 5 na tsh. 950 kwa 3ltrTsh 500 kwa moja. Karibu.
Asante mkuu zinaweza kuwa tshs ngapi kwa kila piece?Silafrica na Jambo, wote wapo barabarani ya nyerere.
Hivi vya lita moja ni vile virefu vyembamba je hakuna vile vifupi lakini vinene?
Vile sina mkuu.Hivi vya lita moja ni vile virefu vyembamba je hakuna vile vifupi lakini vinene?
Sent using Jamii Forums mobile app