Recent content by john johns

  1. john johns

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

    Maswali mengine bwana...
  2. john johns

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  3. john johns

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

    Wakuu nisaidieni huu ni ugonjwa gani hii alama ina zaidi ya miezi mitano sasa nilienda hospitali nikapewa betamethasone though haijaleta mabadiliko yoyote
  4. john johns

    JamiiForums Tanzania Je huu ni ugonjwa gani?

    Nilienda nikapewa hio betamethasone ila haijabadilisha kitu hiyo alama ina zaidi ya miezi mitano
  5. john johns

    JamiiForums Tanzania Je huu ni ugonjwa gani?

    Naomba anayefaham hii ni infection gani na tiba yake anisaidie....ninetumia betamethasone lakini haijaleta mabadiliko yoyote
  6. john johns

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina la mtoto linaloanza na herufi G

    Garlic Gastrulla Glabella Gallium Gerniculate Gambler Gas
  7. john johns

    JamiiForums Tanzania MITOTO YA CKU HIZI!

    Hahhahahahahahahahha
  8. john johns

    JamiiForums Tanzania Just smile!!

    Nimeipenda hiyo ya" mwanaume kupaka mafuta baada ya kuvaa nguo"
  9. john johns

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Yani hapo kama sio 16 hakuna jibu tena kwann?? Pair ya boot =10 Refer with no whislte=3 Single whistle=2 Sasa,10 + 3 * 2 from bodmas lazima uanze kuzidisha 3*2=6 Then,10+6=16
  10. john johns

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Umeanza kusinzia mapema mkuu pole na uchovu.[emoji4][emoji4]
  11. john johns

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Kama hupati 16 kosa sio lako it depends on which secondary school u attended.
  12. john johns

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Mkuu 20 sio kabisa yani hem makinika kidogo utapata 16
Back
Top Bottom