Recent content by John I. Kayora

  1. J

    Msaada: Sielewi tofauti ya dunia na ulimwengu

    [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  2. J

    Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

    Sasa mkuu nani alisema au inakuaje kwamba jua likiwa 40 light minutes halionekani?
  3. J

    Itakuwaje Kama Nyota Itaiangukia Dunia?

    Kila kitu kilichopo angani kipo katika motion hakuna kitu kilicho stationary. Mfano dunia inajizungusha yenyewe kwa spidi ya 1,600 km/h inazunguka jua kwa spidi ya 110,000 km/h vivyo hivyo jua na sayari zake (solar system) inazunguka center ya galaksi kwa spidi ya angalau 800,000km/h na solar...
  4. J

    MAAJABU mambo 6 ya kufahamu kuhusu sayari ya Venus iliyopo karibu na dunia

    Sasa hapo siku inakuwa kubwa kuliko mwaka, hapo kama wanaishi watu ukisema utumie miaka kama kigezo cha ukubwa wa mtu itakosea inabidi utumie siku.
  5. J

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Yaani we jamaa unaakili sana, sina cha kuongeza mkuu.
  6. J

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Yaan we jamaa hamna kitu kabisa, pamoja na maelezo yako hayo umejipinda weee! Sasa kama dunia ni tambarare tunawezaje kupata usiku na mchana? Muda uliopo sasa mpigie mtu aliyeko USA au Australia akwambie ni saa ngapi? Kama ni tambarare basi kungekua na mchana au usiku dunia nzima, dah! Yaan we...
  7. J

    Hivi nikichelewa kwenda kuripoti chuo watanizingua?

    Kama unaweza kupata zaidi ya laki nne ndani ya wiki 1 au 2 unataka usome nini ili upate nini? Bora usome open huku unafanya kazi au kasome mwakan, maana hata mimi natafuta hicho kibarua cha kupata hata hiyo laki nne kwa mwezi sembuse wewe kwa wiki 1 tu unapata hiyo laki nne.
  8. J

    Kama binadamu aliumbwa kwa 100% je, ilikuwaje mwaafrika akawa mtu mweusi?

    Mkuu acha siasa, tunazungumzia hicho chanzo na sio uafrika au uamerika, kwani wewe unajuaje kama mimi ni mwafrika, au JF imekuwa limited kwa waafrika tuu! Fikiri nje ya boksi
  9. J

    Kama binadamu aliumbwa kwa 100% je, ilikuwaje mwaafrika akawa mtu mweusi?

    Mkuu hapo ungerekebisha swali lako na au ungeweka maneno haya ".... je ilikuwaje mwamerika, Muulaya akawa mtu mweupe?" Na kwa taarifa yako kuna waafrika weupe kabisaa, na huwezi kuwatofautisha na wazungu au waarabu angalia africa kaskazini kama vile Morocco, niger, misri, Libya nk.
  10. J

    Kama binadamu aliumbwa kwa 100% je, ilikuwaje mwaafrika akawa mtu mweusi?

    Hii mada haitafika mwisho, hebu mje na majibu kamili, fanyeni utafiti halafu nje kamili, mi pia natafuta majibu, maana kila mtu anagusagusa tuuu....
  11. J

    Andiko la Kibiblia na uhusiano wa kupatwa kwa jua na mwezi

    Na mwezi kuwa damu au kama rangi ya damu?
  12. J

    Andiko la Kibiblia na uhusiano wa kupatwa kwa jua na mwezi

    Mi sijaelewa hapo jua kuwa giza au duniani kuwa giza kutokana na mwezi kukinga mwanga wa jua? Mnieleweshe hapo mi sijapata logic.
  13. J

    Hali mbaya Mwanza, maduka yafungwa kwa ukata

    Watu wanakurupuka tu kusoma, hivi mnajua square meter moja ikoje? Ni sawa na sentimita 100 kwa urefu na upana kote iko sawasawa, sasa kama hujui sq mita moja ni kama choo cha kawaida chenye sq mita 2 hivi, fungukeni
  14. J

    What Lies beyond the Observable Universe?

    Siri hiyo anayo Mungu, wewe umefunuliwa katika ulimwengu tu, ikiwa sisi sote tupo ndani ya universe unategemea hilo swali ajibu nani?
  15. J

    Bata bukini dume anauzwa

    Taja specification ya huyo bata anauzito kiasi gani? Unauza kwa kufuata uzito???
Back
Top Bottom