Recent content by John gauteng

  1. J

    JamiiForums Tanzania Vipi ujenzi wa daraja la Agakhan mpaka Coco Beach umefikia wapi?

    Pesa tumepeleka kwenye kununua madiwani na wabunge wakisharudi kazini baada ya miaka 3 pesa yetu itarudi na ujenzi utaanza rasmi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Poleni sana kuna dada yangu mmoja juma pili moja aliingia kanisani akaambiwa michango ya leo ni kulipa kwa dola kuanzia dolla 20 ili yesu atakapo kulipa akulipe kwa dolla akasema kwa pale hana dolla akaambia kuna mtu nje atampa chanji tangu siku hiyo mpaka leo hajarudi kanisani karibuni kwetu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu tetesi za kufungwa kwa benki zaidi nchini Tanzania

    South africa ni nchi tajiri lakini BANK zake hazizidi 10 kwanini tanzania iwe hivyo?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu tetesi za kufungwa kwa benki zaidi nchini Tanzania

    Nchi masikini kama tz ina bank zaid ya 20 du vichekesho sana bora zife zibakie tano tu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Miss Curious mimi mgeni humu nahitaji marafiki Jamii forum

    If you real cute put yo snap on wall pls
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa CHADEMA ndo huu: Mbowe 2015 Ulifanya Wengi Tukukatae na CHADEMA yako

    hii ni kweli na nani anawajua hawa?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua gharama za kuishi South Africa especially Johannesburg

    Gharama za nyumba ni kati ya rand 3000 na 5000 kwa kwa mwezi na matumizi ya kula rand 2000 inatosha chakula kwa mwezi matumizi mengine juu yako mwenyewe ila kama kuishi hotel bei wastan wa rand 700 mpk rand 5000 kwa siku
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yadaiwa rais wa Marekani Donald Trump akubali kupimwa usalama wa akili yake

    Wazungu wako huru kimawazo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yadaiwa rais wa Marekani Donald Trump akubali kupimwa usalama wa akili yake

    Kuna walio ombwa kutoa vyetu hawakutoa na kilichofuata ilikuwa ni kupotea kwa aliye toa wazo hilo
  10. J

    JamiiForums Tanzania CCM yawateua Dkt.Godwin Mollel kugombea Ubunge Siha na Maulid Mtulia kugombea Kinondoni katika Uchaguzi mdogo Januari 17

    Ongezeko la ujinga, mporomoko wa uchumi na ccm kuendelea kutawala. I _____________________________________________ Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Simfahamu na sijawahi kumsikia Katibu wa itikadi mwenezi wa CHADEMA kama CCM

    Ongezeko la ujinga, mporomoko wa uchumi na ccm kuendelea kutawala. I _____________________________________________ Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajitetea kukua kwa Deni la Taifa. Adai kuwa tajiri lazima ukope, kuwa na madeni sio dhambi

    Kopa pesa usiogope chochote ila pesa hiyo tuione imeenda wapi ndiyo shida yetu
Back
Top Bottom