Recent content by John-E-Mhando

  1. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli zaidi ya kauli za kibabe ana nini kingine?

    1.'kolapshen' is cancer 2.not to zat extent,
  2. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Aramu Kaigwe, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi jimbo la Kasulu Vijijini, auawa kwa kukatwa mapanga

    poleni-sana,,, kwa kweli inasikitisha sn kuona nchi imevamiwa na wasiojulikana,,
  3. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Ya Kikwete yanafurahisha

    hata umkosoe vipi hajui kuchukia wala hakua mtu wa chuki na visasi,, alikua anafahamu wakosoaji na wanaomsifia wote ni ndugu wenye nia njema ingawa wanatumia njia/mbinu tofauti kujenga hoja zao
  4. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania CHINA: Bunge lapitisha kuondolewa kwa ukomo wa mihula ya Urais. Xi Jinping kutawala maisha

    haaaa tusubiri makampuni ya demokrasia kutoka china kuja afrika kuwekeza
  5. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Nkurunziza atangazwa kuwa kiongozi wa maisha CNDD/FDD

    trump alikua sahihi kabisa sht-hl
  6. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Richard Mabala: Viroba vya madaraka

    hahahaha!! utasikia anaambiwa anachanganya fasihi na 'siasa'
  7. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Wassira: Natamani kucheza mchezo wa Biko

    mmh vyuma-vimekaza haswaa, kama msumeno unakata kote kote
  8. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Wabunge watatu wateule wala kiapo cha uamnifu

    sitarajii jambo lenye tija kutoka bunge hili
  9. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Viongozi 18 wa ACT-Wazalendo kutoka mikoa mbalimbali wamejivua nyadhifa zao na kujiunga na CCM

    duh dirisha-la-usajili linafungwa lini jamani
  10. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    mkorogo alinifanya nisimtamani tena maana aaagh alipoteza uzuri wake daah
  11. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Kati ya wanaume na wanawake akina nani wanaongoza kujiua kwa sababu ya mapenzi?

    wanaume hasa ambao hawajajeruhiwa na mapenzi, wanawake ni makauzu mioyoni mwao
  12. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Je Unakumbuka Ulimpataje/Mlikutanaje na Mpenzi/mke/mme wako?

    kipindi chuo alipata sup akaniomba niwe namfundisha getoni kwake aah uvumilivu ulinishinda
  13. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatumia vibaya neno "Nakupenda" katika mapenzi

    mwanamke naempenda hua namtreat kama simpendi ila ambae simpendi hua namtreat kama nampenda sn kumbe ndo nasepa ivo
  14. John-E-Mhando

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anayekubali maneno ya Trump yeye ndiyo Shithole

    kwa mambo yanayofanyika afrika maonezi, kubadili katiba, kung'ang'ania madaraka, kubaguana, kiki zisizo na tija, trump yupo sahihi kabisa
Back
Top Bottom