Ninaomba kujua soko la mbao uarabuni likoje? Maaana nimekua nauza mbao za jumla toka Mafinga-Iringa sasa natafta namna ya kuingia katika soko la nchi za kiarabu
Hapo kwenye mchele na vitunguu ni pazuri bw malila...ila kama unafahamu kampuni au mtu anayepeleka mzigo ningefurahi zaid ili wadau tupate uelekeo wake.
Nimekuwa najihusisha na ununuzi na uuzaji wa mazao hapa nchini tanzania, sasa nafikiria sana kwenda afrika kusini na south sudan.Ninaomba mwenye uzoefu au fursa kwamba naweza KUUZA NINI katika nchi hizo mbili tafadhari naomba michango yenu.
-Kwa sababu ya ugeni ni lazima uwepo wakati wa manunuzi,ili ujifunze na uhakikishe kinachonunuliwa
-Mara nyingi hurudisha mtaji wako ivo unaweza kuanza kidogokidogo na nadhani sehemu nyingi ndo wameanza mavuno i.e ifakara, mbarali
Jamani New Shikamoo pesa ndo iko ktk hatua za mwisho za kufunguliwa...hao wazee wa fitina wa mabatini na Diwani wao hawatuwezi...Tajir Freddy anapambana kwa ajili ya wateja( Ema mavogue,suzy ------, tajir Maganga etc)na wafanyakazi wake (mama shughuli,wali nazi,matongee).
Wazo zuri sana Moriah.
-Cha msingi nikupata wenyeji ambao ni waaminifu kwakua wewe ni mgeni ktk biashara hiyo maana uwa kuna tabia ya wanunuzi(wale uwatumao kwenda shambani) kupotea na hela
-Ifakara mjini sio sehemu nzuri ya kununua mpunga,ningekushauri uingie chaka kama malinyi,mtimbila,chita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.