Majambazi wali vamia familia 1.baada kukosa hela wakataka kuua m2 na mke.jambaz aka muuliza mwana mke, jina lako nani?.Mke aka jibu eliza, jambaz akasema nime kusamee kukuua kwani hata mama yangu ana itwa eliziza.jambazi lika mfuata mume,haya na ww unaitwa nani,Mume akajibu kwa upole sana mie...