Kijana anaefanya kazi ya ubaharia

Kijana anaefanya kazi ya ubaharia

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,454
Reaction score
1,569
Hii ni story ya kweli wakuu.

Baba alishangaa alipomuona mwanae(anaefanya kazi ya baharia) anatembea mwendo wa kunesanesa/ wakigangee.

Baba: we Ema mbona unatembea hivyo?
Ema: unajua muda mwingi niko katika meli baharini so nimelemaa na mwenendo wa mawimbi ya bahari
Baba: Mshenzi wewe mbona mimi ma mama yako tangu enzi hizo tuko pamoja sijalemaa na mitikiso ya kitandani natembea sawasawa
 
Back
Top Bottom