Kwa miaka sasa ccm wamekuwa wakihubiri udini kila wanapokuwa wamebanwa na wanaharakati na vyama pinzani ila tujiulize je hili jambo linamadhara ya kiasi gani kwa jamii. Mimi mkristo washikaji wangu wengi waislamu ila tangia naishi nao kitaa hatujawah kubaguan sikuu tunakula pamoja na kucheza...
Marketing segmentation is an essential tool in marketing used by the marketers to make investments decision.
WHAT DOES IT MEAN? Marketing segmentation is the process of dividing(segment) market into a different groups with a common traits. It is very important to underline which segment will...
Mashabaki wengi huwa wanapenda kulalamika kuwa jezi sio bora ila leo napenda kuwapa neno kidogo.
Jezi zozote hutengenezwa kulingana na uwezo wa walaji(wanunuzi) ni kama simu tu jinsi tunavyoona zinavyouzwa kwa bei tofauti n hapo kinachotofautiza bei ni quality.
Huwez kupata high quality jersey...
SASA WAZEE WANAKUAMBIA kuna nchi ilikuwa inaitwa chagga hayo mengine tafuta tafuta
Unganisha goti kipindi cha sukari kuzuiwa kwenda uchagani walitishia kujitenga raisi akiwa Jk
Misingi yote na nchi na utawala huwekwa kwenye katiba ila pale ambapo katiba haina meno basi ni maarafa kwa nchi husika. Katiba ni msingi wa kila jambo kuanzia uwajibikaji na utunzaji wa rasilimali za nchi.
Tujiulize ni viongozi wangapi wanaitia hasara serikali kwa either kufanya maamuzi ya...
Nchi yenye rasilimali chungu mzima ni Tanzania ila ccm wamezifanya kama shamba la bibi kwa kuzitapanya kama wanavyotaka kwa kuingia mikataba ya kifisadi na ya kinyonyaji. ooh nchi yangu yenye madini ya kila aina, maji ya kutosha, ardhi yenye rutuba na n.k ila masikini wa kutupwa. Je tunakwama...
Wanasimba wenzangu embu tujiuze Kigwangalla ameifanyia nn Simba? Ni kwa nn anajitokeza kipindi tu kunapokuw na msigano baina ya sSimba na mwekezaji Mo?
Tusimpe mwanya mtu mwenye chuki zake binafis akatuharibia mwenendo wetu so far Mo kaifikisha simba sehemu ambayo wengine walishindwa badala...
NDUGU WANAJAMVI ILI KUWEZA KUPATA LADHA YA KABUMBU VITU VIFUATAVYO LAZIMA VIFANYIE KAZI
Usajili wa wachezaji bora
Benchi la ufundi bora na lililokamilika
Maandalizi ya msimu/ pre season
Viwanja bora vya kuchezea mpira
Vifaa bora na vya kutosha vya kurushia matangazo kutoka kwa mdhamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.