Kiongoz
Samahani mm nina cheti ya ulinzi ninapass lkn sina connection na tanzania naishi tu lkn natafuta connection yakuondoka huku kiongoz plz niunganishe ninafani kibao kichwan plus cv zake
Ujue upambe ndio unawatesa sana kila mradi wowote wa selikal lazma wanakula cha juu wengine hizi kaz za ujenzi ndio maisha yetu pale yale madaraja ni zege na nondo tu b.100 ni hela nyng sana wafanya kaz pale walikuwa wanalipwa kumi na tatu sema msingi wa nchi hii ni uongo so u cn't move any where.
Ujue uongo mwngi sana humu ulaya ulinganishe na bongo mm binafsi kama nikipata kazi ulaya hata kwa bure nafanya kazi .co huku tupo tu bahati mbaya hmna kitu apa tunadanganywa tu ili ufanikiwe tz lazma ufanye biashara zinazozuiliwa na selikal bila hvo ngum sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.