Serikali yatoa kanuni za Mifuko ya Jamii iliyounganishwa

Serikali yatoa kanuni za Mifuko ya Jamii iliyounganishwa

Tuvumilie tu. Atakuja Rais mwingine tutaweka sheria nyingine.
 
DHULMA ni kazi kweli.

Mngewaambia watu tu hawana chao basi, ieleweke.
 
duh! acha tu nisubscribe..nitulize kichwa kwanza..it pains
 
Wabadili sheria,umri wa kustaafu kwa hiari uwe 50,badala ya 55.
Vijana waliosoma taaluma mbalimbali nao wajipatie ajira,maisha yasonge.
Ni kweli kwa sababu vikongwe watashikilia nafasi za kazi kwa muda mrefu sana, miaka 60..?! Wakati vijana wenye ufanisi wanahitimu kila leo..!!
 
Hawa ni wafanyabiashara sio viongoz alaf wanacheza na udhaifu wetu ngoja tukome.tungelikuwa na kaul moja hawa wasingelisubutu.
 
Hii sheria imewekwa ili kuhalalisha ufukuzaji kazi bila kulipwa mafao. Sasa mtu ambaye kapoteza ajira atajiungaje na mfuko wa hiari atachangia nini..??
 
Back
Top Bottom