Recent content by john aloyce lekule

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa Saloon ananiletea wanawake

    totally nonsense. mnafungua lini shule? hadithi nyingine bana! I fail to understand them. kuandika utumbo wote huo huna kazi ya kufanya? shame upon you.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa NLD na Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Dr. Emmanuel Makaidi azikwa makaburi ya Sinza

    May the Almight God rest his soul in external peace!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    ni shangazi yangu bana!
  4. J

    JamiiForums Tanzania John Shibuda yuko wapi? Mwaka huu anagombea? anayejua atujuze

    yuko likizo na akiibuka huko anakuja na utata mwingine! huyu jamaa ni mtata Sana na ni vigumu kumuelewa! akili zake zinamtosha mwenyewe. mtu akikuazima hicho kichwa chake hata kwa nusu saa tu ni sawa na kubebeshwa mzigo wa gunia la msumari Kichwani!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae mume

    Huyo ulozaa nae yuko wapi? mbona unachanganya madesa hapa? wewe si tayari ni mke wa mtu? hata sikuelewi..,
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni sikio lakufa halisikii dawa ni hatari mtu kama huyu kwenda Ikulu

    kawaambie walokutuma hujatukuta umekuta tushaanza safari yetu ya vuguvugu la mabadiliko tunarudi 25 October.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    Watu watafikiria kimasaburimasaburi pande za ubungo huku
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Hata kama punda atafia njiani lazima mzigo ufike

    Kati ya manunda we ni nunda namba moja.! I am so doubting of your thinking capacity.! mirija ya ufisadi ulokuwa unafaidika nayo ilokufanya uandike pumba kama hii hadithi yako tunaikata sasa.! utalia Sana ndorobo wa kijani wewe! miaka 50 mnajivunia nini mlichofanya lofa mkubwa wewe.? shame upon you..
  9. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    oh lala. hapo sasa. tembeeni taratibu. mnakimbia mno masifa ninyi waone.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Ni kwa Neema ya Mungu tu. ndio maana haya yote yanatokea. Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Hakika katika yeye kila goti litapigwa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa kiongozi asivyotufaa

    jinga Lao Hilo Jina walikupa Kwa sababu gani. do u resemble it
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa kiongozi asivyotufaa

    anatufaa nani. makomeo vipi
  13. J

    JamiiForums Tanzania Zitto, Shika lako, ya wengine waachie wenyewe! Epuka kumtaja Lowassa kwa ubaya!

    hueleweki. mwalimu wako aliteseka Sana na wewe kama huu ndio uwezo wako wa kufikiri. uliishia darasa la ngapi kwani
Back
Top Bottom