John Shibuda yuko wapi? Mwaka huu anagombea? anayejua atujuze

John Shibuda yuko wapi? Mwaka huu anagombea? anayejua atujuze

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,325
Huyu alikuwa mbunge mwenye utata sana,alihama chadema NA kuhamia UPDP,hivi Mwaka huh anagombea? Mbona miezi miwili tu kapotea kama barafu iliyodondoka jangwani?
 
Aisee hata mimi simsikii kabisa. na mzee wa mapesa momose?? wako wapi>?
 
Huyu alikuwa mbunge mwenye utata sana,alihama chadema NA kuhamia UPDP,hivi Mwaka huh anagombea? Mbona miezi miwili tu kapotea kama barafu iliyodondoka jangwani?

Ni katibu mkuu TADEA. Jana alizindua kampeni za ubunge kutetea nafasi yake jimboni maswa.
 
Kila jambo na wakati wake CCM na Zitto wamemtumia kama tambara bovu na kumtupa
 
Huyu ni kubwa jinga asiye na fikra ukuwadi haachi alidhani chadema itakufa so alijiona ni bora kuliko chadema kumbe Siasa ni dynamic. ubunge atausikia kwenye tbcsisiem tu hachomoki Mwaka huu.
 
hachomoki Kubwa Jinga huyu Alijiona ni bora kuliko chadema km Akina zitto leo mambo yamebadilika. hajui kuchanga karata kuwa Siasa ni dynamic.
 
Ni katibu mkuu TADEA. Jana alizindua kampeni za ubunge kutetea nafasi yake jimboni maswa.

Duh hii kali jana zimebaki siku tano ndio anazindua haaa haaa Shibuda kweli ni shidaaaa.
 
Huyu alikuwa mbunge mwenye utata sana,alihama chadema NA kuhamia UPDP,hivi Mwaka huh anagombea? Mbona miezi miwili tu kapotea kama barafu iliyodondoka jangwani?

Alihamia Tadea na anagombea ubunge jimbo lilelile , jana ndio amezindua kampeni zake , laana ya usaliti usipime !
 
Shibuda alitumika kama tishu ya msalani😅
 
yuko likizo na akiibuka huko anakuja na utata mwingine! huyu jamaa ni mtata Sana na ni vigumu kumuelewa! akili zake zinamtosha mwenyewe. mtu akikuazima hicho kichwa chake hata kwa nusu saa tu ni sawa na kubebeshwa mzigo wa gunia la msumari Kichwani!
 
Hatumtaki huyo kubwa jinga apite hivi...........
 
Back
Top Bottom