Recent content by Johhe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni Sheria ipi ina mruhusu kiongozi wa TUCTA kugombea nafasi ya uongozi CCM?

    Mwaka huu watumishi wengi wa umma waliruhusiwa kugombea na wameshinda nafasi nyingi za kisiasa ndani ya ccm. Ccm ndo kinara wa kuvunja katiba
  2. J

    JamiiForums Tanzania EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Pole mkuu, unataka but at the same time unaweka misimamo ambayo sio njia ya kupata unachotaka. Ukitaka kuwa mwanasiasa kubali kuwa mnafiki, kusujudu, na kujitoa ufaham. Hakuna intergrity kwenye siasa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Juma Aweso, sifa zake zinatoka wapi? Mbona matatizo ya maji ni mengi mno

    Sijui nani hata anamsifia, mm namwonaga ni makelele tu mbele ya camera, miradi imejaa upigaji tupu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

    Huo haukuwa utafiti bali story za viunga vya lumumba
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali barabarani linahusiana na kauli ya kuondoa trafiki barabarani?

    Hili ni swali la kitafiti, wazee wa investigation research question tayari hapo, ukiwa na funding ingia kazini
  6. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mapumziko siku ya Sensa

    Kama kweli maswali ni mengi kiasi hicho watu watachoka na itaathiri usahihi wa taarifa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mapumziko siku ya Sensa

    Angalizo nzuri hili Natumai litafanyiwa kazi
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Baada ya muda ataenda kujiapisha kama last time
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Katika chaguzi za Kenya, chama upinzani hakijawahi kushinda uchaguzi

    Hoja yako inaelea
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Ndo katiba ya ccm inavosema? Kuna haja ya watu kugombea kama ndo hivo?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

    Nahisi watu hutenda maovu kwa sababu wanajua watasamehewa, ingetakiwa kusiwe na msamaha kwenye makosa ya makusudi, ingepunguza watu kutenda makosa, mtu anapofanya makosa afu anaenda kutubu ni kama kejeli kwa mtoa msamaha
  12. J

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

    kwani anwani ya makazi haina sheria,kanuni,taratibu na muongozo? kama ndo zinasema hivo basi kosa lipo kwa watunga sheria but kama hamna regulation ya hili zoezi then it is very absurd to implement public projects without regualation, watu wataweka hata majina ya michepuko yao
  13. J

    JamiiForums Tanzania John Pima aliyekuwa DED Arusha afikishwa Mahakamani

    PM alivokuwa anaongea ilikuwa kama kuna ushahidi wa wazi wa kulipa fedha ya serikali kwenye a/c binafsi ambazo ni za watumishi wa ofisi yake, kama mahakamani hawatampata na kosa, basi kuna mawili - Pm kafanya yake kama kawa au mahakama inachezewa kupindisha hukumu, all in all is corruption in...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye Familia za Wafilipino

    Du, hicho ndo kipimo cha upendo? Nikisema ni umaskini uliopitiliza na watu kushindwa kujitegemea je? Uhakika ni kuwa hamna binadamu anapenda kubanwa banwa, kila mtu angependa awe huru na kukutana iwe kwa ajili maalum au socilization
Back
Top Bottom