Recent content by Johari msabila

  1. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Tanasha Donna: Sikuzaliwa kuwa mama wa nyumbani

    Hilo. Nitafatilia ila jarib YouTube 🤣🤣🤣
  2. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Tanasha Donna: Sikuzaliwa kuwa mama wa nyumbani

    Anaimba
  3. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Tanasha Donna: Sikuzaliwa kuwa mama wa nyumbani

    Akafungasha virago
  4. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Tanasha Donna: Sikuzaliwa kuwa mama wa nyumbani

    Mwanamziki Tanasha Donna ambaye amezaa na mwanamuziki mwenzake wa Tanzania Diamond Platinumz kwa jina maarufu Simba, Tanasha amesema anaulizwa mengi kuhusu yeye kwa lile swala la kuwa maam wa nyumbani, kutoka kwa mashabiki wake. Na kusema hakuzaliwa kuwa mama wa nyumbani. Pia, asema yeye pamoja...
  5. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Salamu

    Mimi naitwa Johari msabila nimefurahi kuwa moja went katika JamiiForums
  6. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa fresh juice

    Nahitaji kutengeneza fresh juice nataka kujua viungo vya kuweka hasa kwenye juice mix
  7. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Jaman mm ni mwanafunzi nasoma chuo mwaka wa pili iringa natamani nije kua na chuo changu na apa nafanyaga tu biashara ndogondogo za nguo na viatu kwa wanafunzi wenzangu ushaur jaman niweze kufikia ndoto zangu
  8. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Ahsante
  9. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Jaman iringa kwa biashara ipi inafaa
  10. Johari msabila

    JamiiForums Tanzania Juma Jux anaungana na Vanessa Mdee, uhusiano wa Rotimi

    Vanessa aweka wazi na sio Siri tena kuhusu uhusiano wake mpya na jaji mwenzake Rotimi aliyekuwa nae kwenye mashindano ya East Africa got talent kwa kusema Ameamua kuweka wazi japo Ni Siri lakini Juma Jux hakushitushwa kwani anasema walibreak up tangu Disemba 2018 na wala hakushangazwa bali...
Back
Top Bottom