Recent content by Johanes 2008j

  1. J

    Gambia kuachana na Kiingereza

    Kama nchi ya gambia itakuwa na uvumbuzi wa kisayansi wa vitu vyake kwa asilimia 100. Watafanikiwa ila kama bado wanategemea teknologia ya mangaribi, huo uamuzi utakuwa wa kisiasa tu. Na kama yupo serious makablasha yote ya ikulu awe amesha yabadili na kuwa ya lugha ya kikwao halafu aangalie...
  2. J

    Russia intercepts a US drone over Crimea

    Acheni kuwa na akili za matango. Nyie endeleeni kudanganywa na makanjanja wa hapa bongo. Hiyo vita mtaisubiri mpaka mtakufa.
  3. J

    yanga inastahili pongezi

    Kabla mpira haujachezwa mlisema yanga haitawafunga. Haya yanga imewafunga mnasema itakula mabao ikienda kule. Vipi nyie?
Back
Top Bottom