ndege imeshushwa ikiwa intact.Itakuwa lugha iliyotumika baadhi ya watu hawakuekewa kwani wanasema Russia wametungua drone ya marekani ila picha waliotoa ni ya drone ambayo ni nzima na ambayo ni armed , mbona wasionyeshe hayo mabaki! Propaganda tuu hizo
ndege imeshushwa ikiwa intact.
hii vita haitapiganwa kamwe, ingekuwa US na hivi vinchi vyetu muda wote huu tungekua tunaugulia maumivu ya madrones
the drone fell almost intact into the hand of self defence.Soma vizuri "the drone fell" hapo pengine utapata mwanga zaidi
A bankrupt EU messed up Ukraine to try and cause problems at the Russian border but Putin outwitted them, Ukraine is going to pay for it by loosing Crimea and the western media is going to blame "weak indecisive " Obama.