Recent content by Joh Nee

  1. Joh Nee

    Health CS Mutahi Kagwe announces 29 more cases of coronavirus in Kenya, total at 110

    Ww ulitaka tujifungie ndani alaf tuje kufa kwa njaa au.??
  2. Joh Nee

    UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Ikiendelea na uo mtazamo utaendelea kuwa na hali mbaya mpaka 2025..😏
  3. Joh Nee

    Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

    Amna, mbona German na Iran cases zao zinakaribia kufanana, lkn idad ya vifo ni tofauti kabixa? Itakuwa labda ni namna wagonjwa wanavyohudumiwa ndo maana idadi ya vifo zinatofautiana, pia wagonjwa wengi ni wa umri gani? Kama ni wazee wengi na vifo mtegemee zitakuwa vingi.
  4. Joh Nee

    Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Nifah, Aiseee, kila atokapo chooni..🙌🙌🙌
  5. Joh Nee

    Mtambo wa Marekani kuzuia makombora ya Korea Kaskazini waanza kazi

    Huo mtambo sio wa kuzuia risasi jomba, ni wa kuzuia missles.. Vita vya sasa iv sio vya ana kwa ana. Kuna mtambo mwingine unaitwa auxilary guns, huu nao ni wa kuzuia small missles zinazotumwa kwenye meli za kivita.. Nadhani huo mpya utakuwa umeboreshwa zaidi..
Back
Top Bottom